Uchaguzi 2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

Wewe tueleze ile ranch ya magu ameianzisha kwenye ardhi aliyoinunua toka kwa nani?
Tatizo sio ukweli wa taarifa tatizo ni aliyeisema sio mtu wa kuaminika amekuwa muongo mnoo
 
Kwa mujibu wa sheria husiksa,Rasilima na madeni hayo ni vitu hivi minogoni mwa vinginevyo:

Kanuni za Maadili ya Viongozi wa Umma (Tamko la Raslimali na Madeni)Tangazo la Serikali Na.108 (linaendelea) JEDWALI - (Linaendelea)

4.Nyumba au majengo ya kupangisha, taja mahali yalipo na ukubwa au eneo:
.....................................................................
................................................................................

5.Mashamba ya kibiashara, mifugo, madini, n.k. .....................
..............................................................................

6.Magari na aina nyingine za usafiri wa kibiashara:-..................
..............................................................................
..............................................................................
..............................................................................
..............................................................................

7.Mashine za kusaga nafaka, viwanda na shughuli nyingine za kibiashara au mitambo:-
................................................
..............................................................................
..............................................................................
..............................................................................

8.Raslimali nyinginezo au maslahi ambayo kiongozi wa umma anapenda kutaja:-.................................................................................
................................................................................
.................................................................................
.....................................................
 
Basi Vibendera Mnaona Hoja na Kashinda tayari
hahahaa Kweli Tanzania Kuna Baadhi ya Vijana wapuuzi Kupindukia
huyo akipata 20% Mumpatie na Faru john Ashushie maaana utakuwa Ushindi kwake
Mkifanya mzaha anawashinda huyu
 
Unamuamini Lisu??
kweli nchi hii matahaira ni wengi
Je wewe, unawaamini hawa?

CCMchadema.jpg
 
Raisi wa wanyonge kumbe anawanyonga kiukweli,asante Lissu.

Mpaka kampeni iishe,tutajua mengi
Na pia atuambie habari ya Mayanga Construction Company ya mme mwenza wake na kwanini tenda za uwanja wa Chato na daraja la Kigogo na matenda mengine mengi yanapewa Mayanga pekee. Pia habari za Doto Bulembo mtoto wa dada ya jiwe aliyefanywa kuwa Pay Master wa serikali.
 
Back
Top Bottom