Uchaguzi 2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

Uchaguzi 2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

Ngoja watoke ufipa na matusi yao. Ilani ya CHAMA hawagusi wametia mfukoni wanatembea na akili ya mtu mmoja na sio ilani ya chama
Mbona nie kila kitu Jiwe, kila mwana ccm akiri yake ni ndege, reli, bwawa, barabarani na Zahanati. Hamna kingine, maendeleo ya watu ni sifuri. Mbunge wa Handeni, utasikia tumeleta ndege nipeni kura, lol! CCM bwana mmeishiwa pumzi.

Haki hakuna, Uhuru hakuna, Upendo hakuna, halafu munasima bila aibu kuhubiri Amani. Engua engua upinzani, wao wapite bila kupingwa. Kupita bila kupingwa nikunyima wananchi haki yakuchagua wampendae. Halafu munaomba kura tena, sijui wanatuona watanzania mazuzu?
 
ndo maaana nkasema lazima uvute bangi ili uendane na chadema, sasa hzi znahusiana na mada
Ccm na bangi ni damu damu.
Screenshot_2020-09-24-01-56-06-1.jpg
 
Lissu akichukua nchi mtajuta. Huyu anatafuta upigaji akipata urais. Anasingizia wenzie bila ushahidi au vielelezo bayana. Hafai hata kwa mchuzi.
Wangapi serekali ya CCM imewaweka ndani bila ushahidi?
 
Ajibu kwanza Ile ya cheti Chake cha kuzaliwa kwanza Kisha ajibu hio ya ardhi hapa lumumba wamepoteana kabisa. Hizi hoja hata mtoto wa dada yake heri James hawezi zijibu
 
Akili za watz zimefunguka ishukuriwe corona imezuia kutopumbazwa kwa akili za watz na ule Moto wa kuzimu ufaao kuwekwa makumbusho.
Hakuna mbio za mwenge hakuna ushindi safarii ccm lzm wanalala
 
Lissu akihutubia wananchi wa Manispaa ya Bukoba amedai Rais Magufuli amepora kiasi cha hekari elfu 25 maeneo ya Kihanga wilayani Karagwe mkoani Kagera.

Magufuli tunaomba ujitokeze ujibu hoja hii. Naomba Magufuli nikukumbushe hilo eneo ni pale Kihanga wanapouzia maziwa, na siku hizi kuna ulinzi mkali sana kiasi kwamba hakuna mtu anaruhusiwa kusimama maeneo hayo.

Na kumbuka ulipokuwa Bukoba ulisema ukistaafu utaishi mkoani Kagera.

Mheshimiwa njoo huku ujibu.

Asante
View attachment 1578414
Hata wewe mwizi tuu...umetumwa kuiba amani ya tanzania
 
Kuna ubaya gani yeye kuhodhi ekari hizo wakati waliomtangulia wana mahekari kibao kuliko hizo 25,000 ?

Cha muhimu TL angeongelea Katiba mpya ili kukata mzizi wa fitina

Mambo mengine ukiyasikilza,bwana! Kwani Magufuli haruhusiwi kuwekeza - si mnasema Tanzania inakaribisha wawekezaji wa ndani.

Wala Magufuli hakuficha kitu nakumbuka kwenye kampein katika mji wa Bukoba alisema ana tu ng'ombe ng'ombe twake amepanga akistaafa ata hamia Mkoani Kagera - hakulazimishwa na MTU kuyasema hayo, after all ekali elfu 25 kitu gani bwana? Kwani alishindwa kumilikishwa ekali hata nusu million? Mlitaka wazungu ndio waje kuwekeza lakini sio Magufuli!
 
Back
Top Bottom