Uchaguzi 2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

Uchaguzi 2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

Jamaa dikteta kweli kweli..... Nikukumbuka jinsi alivohonga nyumba za serikali sina hamu na hili fisadi kuu la taifa
 
Hili jamaa linaenda kukwapua ardhi mpaka huko kwa wanyambo badala ya kwenda kwao visiwani kwa wazinza
 
Lissu akihutubia wananchi wa Manispaa ya Bukoba amedai Rais Magufuli amepora kiasi cha hekari elfu 25 maeneo ya Kihanga wilayani Karagwe mkoani Kagera.

Magufuli tunaomba ujitokeze ujibu hoja hii. Naomba Magufuli nikukumbushe hilo eneo ni pale Kihanga wanapouzia maziwa, na siku hizi kuna ulinzi mkali sana kiasi kwamba hakuna mtu anaruhusiwa kusimama maeneo hayo.

Na kumbuka ulipokuwa Bukoba ulisema ukistaafu utaishi mkoani Kagera.

Mheshimiwa njoo huku ujibu.

Asante
View attachment 1578414
Takbirr
Allah Akbar
Nani alikua anajua huyu pombe kumbe hivi
Lissu Allah akulinde na akuongoze uendelee kufichua mengi
 
Basi Vibendera Mnaona Hoja na Kashinda tayari
hahahaa Kweli Tanzania Kuna Baadhi ya Vijana wapuuzi Kupindukia
huyo akipata 20% Mumpatie na Faru john Ashushie maaana utakuwa Ushindi kwake
Mkuu hapa suala si kushinda au kushindwa
Ila watu wengi tulikua hatujui kama pombe ni najisi
Yaani hekari 25000
Bado inalindwa na JWTZ
Pesa rasli trillion 1.5 haijawahi kutokea
Ndio maana anajiita Rais wa wanyonge na ni Rais wa masikini lakini kamanda Lissu si mnyonge ni shujaa
 
Kama nimejifunza kwenye uchaguzi huu ni ule msemo usikidharau kitabu kwa gamba lake. Siku zote nilifikiri Magufuli ni mtu asiyejihusisha na mambo ya biashara lakini nakiri nilikosea. Inawezekana pia kukawa na mengine mengi tusiyoyajua!
 
Umechelewa sana kumjua.

Ukimtoa Mwl. Nyerere hawa viongozi wote waliobaki wote ni wapigaji hatari nyuma ya kivuli cha uzalendo hewa.

Kama yuko msafi atajwe hadharani nimuombe msamaha.
 
Back
Top Bottom