Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Hizo hekari anazifanyia nini ama ni mwekezaji wa ndani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaweka ranchi yake pale.Hizo hekari anazifanyia nini ama ni mwekezaji wa ndani?
Sio usikidharau kitabu kwa gamba lake, Ni Usikijudge kitabu kwa gamba lakeKama nimejifunza kwenye uchaguzi huu ni ule msemo usikidharau kitabu kwa gamba lake. Siku zote nilifikiri Magufuli ni mtu asiyejihusisha na mambo ya biashara lakini nakiri nilikosea. Inawezekana pia kukawa na mengine mengi tusiyoyajua!
Msafi MboweUmechelewa sana kumjua.
Ukimtoa Mwl. Nyerere hawa viongozi wote waliobaki wote ni wapigaji hatari nyuma ya kivuli cha uzalendo hewa.
Kama yuko msafi atajwe hadharani nimuombe msamaha.
Huyo aliyekuambia alikuonyesha ushahidi wa hati miliki ya ardhi ? au alikuwa akiongea tu huku katoa mimacho tu bila ushahidi kama mjusi aliyefiwa na mkwewe.Kama nimejifunza kwenye uchaguzi huu ni ule msemo usikidharau kitabu kwa gamba lake. Siku zote nilifikiri Magufuli ni mtu asiyejihusisha na mambo ya biashara lakini nakiri nilikosea. Inawezekana pia kukawa na mengine mengi tusiyoyajua!
Umeandika kama vile bawasiri inakusumbua sana.
Kumbe Mwl Nyerere alikua kiongozi ili akaibe?asante Mkuu
Ila
Kuweni makini
Kuwa na wewe Kiongozi,ili ukaibe
Kumbe Mwl Nyerere alikua kiongozi ili akaibe?
Ndio maana wakina Makongoro ni matajiri sana kumbe.
Wanalima bange tu wala hawana lolote la maana wanalofanyia hizo ardhi.Hizo hekari anazifanyia nini ama ni mwekezaji wa ndani?
Ma-CCM ni mafisadi tu, hata bashiru na polepole unaweza kuta wana ma hekari yao pia.Kama nimejifunza kwenye uchaguzi huu ni ule msemo usikidharau kitabu kwa gamba lake. Siku zote nilifikiri Magufuli ni mtu asiyejihusisha na mambo ya biashara lakini nakiri nilikosea. Inawezekana pia kukawa na mengine mengi tusiyoyajua!
Sijui mnamaanisha nini ktk kuyasema haya......?!
Mbona ni waoga sana....
Kwann basi mnabweka nyuma ya Keyboard?!!!
Unataka Mimi kama Raia,nikuamini ww na kumchukia Kiongozi?!
Ok
Amechukua Heka zote hizo....
Unataka Mimi nifanye nini hasa?!
Sidhani kama mnamalengo mazuri na nchi hii....
Bora kwetu
Hii amani tuliyo nayo...tosha kwetu
Hakuna katika sisi atakaebaki Milele juu ya mgongo huu....Hakuna.
acha uchochezi wa ajabu we Mtu
TUNATEKELEZAAAAAAAA.Semeni
Baada ya kuropoka yoote hayo...unataka Wananchi wafanye nini?!
Ni nini hasa kusudio lako?!