Uchaguzi 2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

Mwisho wa maigizo.
Maigizo ya Kujaza viwanja kwa burudani za wasanii kina zuchu na diamond? Au unamanisha maigizo ya kusomba watu ka malori toka Mkoa mmoja kwenda mwingine?
Maigizo ya kuongozana na MAKAHABA Kina wema sepetu kwenye mikutano?
Mgombea amebandika mabango mpka kweny kota za choo nchi mzima ndo anakubalika huyo
 
Tarehe 28 oktoba.
 
Halafu eti kuna watu wanamfananisha na Baba wa Taifa!! Kuna utani mwingine umepitiliza aisee!! Yaani mtu anafananisha Dunia na Mbingu!! Kazi kweli kweli.
Lissu kamzidi hata baba wa Taifa hili JKNyerere.

Pasuka Sasa!
 
Ivi kirefu cha CCM ni Chukua Chako Mapema?
Inawezekana vipi kiongozi wa wanyonge achukue ardhi yote hiyo? em leteni maushahidi hapa
 
Kumiliki heka elfu ishirini na tano ni haki yake.Yeye kama mwanasheria amwage evidence kwenye mitandao tuone walivyoporwa hiyo ardhi siyo kujipayukia tu.
Mimi ni CCM lakini sio kila kitu namuunga mkono hio ni skendo mbaya anatakiwa ajibu haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…