Uchaguzi 2020 Video : Maalim Seif apokelewa kwa kishindo Moshi Mjini

Kana kuna kitu kinanipa raha uchaguzi huu ni kuwa tuna wagombea wa kweli wa upinzani. Hakuna kampeni zilinitesa kama zile zilizopita za yule mzee tapeli aliyerejea ccm.

Safari hii nina raha ya ajabu maana tunapambana na ccm, tena baada ya wapinzani kufanyiwa ukatili, uhayani na unyama wa wazi ili tufutike. Uchaguzi huu ndio umeonyesha wazi upinzani ni imani na haumalizwi kwa ujenzi wa bwawa la umeme, au wachumia tumbo kadhaa kununuliwa na ccm kwenda kuunga juhudi.
 
Ushindani ni wakiwango Cha juu Sana,asiye kubali sii mkweli hats kwenye nafsi take mwenyewe,hats Kuna upande unaelemewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…