Uchaguzi 2020 Video : Maalim Seif apokelewa kwa kishindo Moshi Mjini

Uchaguzi 2020 Video : Maalim Seif apokelewa kwa kishindo Moshi Mjini

Ni heshima isiyo na maana, kwa kuwa wote wawili hawatashinda!

Huu mwaka CCM kupitia kile kijamaa kinaitwa Polepole sijui , mmeamua kuongea ukweli toka mioyoni kwa kukubali kuwa nyie hampo kwa ajili ya wananchi maskini. Kamwe hamjawahi kuwa. Zaidi ni kwamba mnastahili kuondoka madarani. Mmekula mmevimbiwa, hamna UTU. Hadharani mnawatweza walalahoi walipakodi mnazofuja!
 
Magu alimwambia balahau sheni kama kashindwa kumshuhulikia yeye atamshuhulikia. Sasa tuone ivo atakavomshuhulikia huyu kipenzi cha watu
 
Yaani Magufuli atawanyoosha tarehe 28/10/20 hadi mtapteana,Vipi mapokezi ya Hai yamekuwaje.
Mmebaki watanzania wachache sana wenye akili kamà zako,mnaoishi kwa shemeji hata bei ya maandazi hamuijui.
 
Maalim anakwenda kuweka rekodi ya dunia kugombea chaguzi nyingi na kushindwa.
 
Back
Top Bottom