Uchaguzi 2020 Video : Maalim Seif apokelewa kwa kishindo Moshi Mjini

Yaani Magufuli atawanyoosha tarehe 28/10/20 hadi mtapteana,Vipi mapokezi ya Hai yamekuwaje.
 
Unajua walipoenguwa madiwani na wabunge wa upinzani walidhani tutasusia uchaguzi kama wa serikali za mitaa ,waliduwaa mno siku ya ufunguzi wa kampeni ya chadema mbagala Lissu aliposema wanadhani tutasusia hiyo wasahau.

Pia chadema walicheza karata vizuri kumkataa Membe pamoja na umaarufu wake imagine wangemsimamisha halafu asuse kampeni kama anavyofanya huko ACT ,pia Zitto Kabwe na Seif ni majembe sana hawanaga uwoga
 
Ni aibu, siku zote alikuwa wapi? Au ID mpya kudanganya idadi ya reactions.

Paul Sylvester mpella

Eti huo ni mkakati wa ccm kuteka mitandao ya kijamii ili kumuombea kura Magufuli na ccm. Wamefungua id nyingi ili kujibu mapigo na kutaka kura. Sio vibaya lakini hawana hoja zaidi ya kutukana na kusema Magufuli mitano tena. Wanajaribu kuhadaa wapiga kura wa upinzani wasipige kura, eti kisa lazima Magufuli atashinda.
 
Ahaaa ahaaa hizi ni id maingizo mapya ya ccm toka septemba 20, huu ni muendelezo wa id hizo. Ni mkakati wa kina Polepole, na wanapiga hela za bwerere kuwajaza haya matikikiti maji humu jukwaani.

Napenda matikitimaji, hivyo yatake radhi mkuu... hizi takataka zitafutie jina lingine.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.

Nyeto moja tu ingemwepusha mzee wako na fedheha hii.
 
Ahaaa ahaaa hizi ni id maingizo mapya ya ccm toka septemba 20, huu ni muendelezo wa id hizo. Ni mkakati wa kina Polepole, na wanapiga hela za bwerere kuwajaza haya matikikiti maji humu jukwaani.
Matikiti maji dawa yake ni mafuriko tu!! halafu jua liwake kidogo!! yatapasuka yote tar 28!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…