Utajipa ugonywa wa moyo bure unawachukia Waislam kwa chuki zako zi kijinga. Unachukia watu bilion 2😃Wafuga Midevu na Majini kwenye ubora wao!!!
Hapo chuki iko wapi? Kwa ujinga wako unafikiri waislamu pekee wanafuga midevu? Hata sisi Wamatumbi tunafuga sema tu sisi hatufugi Majini tunafuga Ng’ombe wa Maziwa!!Utajipa ugonywa wa moyo bure unawachukia Waislam kwa chuki zako zi kijinga. Unachukia watu bilion 2😃
approximately 1.9 billion
Demographics. More than 24.1% of the world's population is Muslim, with an estimated total of approximately 1.9 billion. Muslims are the majority in 49 countries, they speak hundreds of languages and come from diverse ethnic backgrounds.
Huu ndio ukweli.Utajipa ugonywa wa moyo bure unawachukia Waislam kwa chuki zako zi kijinga. Unachukia watu bilion 2😃
approximately 1.9 billion
Demographics. More than 24.1% of the world's population is Muslim, with an estimated total of approximately 1.9 billion. Muslims are the majority in 49 countries, they speak hundreds of languages and come from diverse ethnic backgrounds.
Toa huu uharo kuna mtu kweli mwenye akili timamu atasumbuka kusomaHapo chuki iko wapi? Kwa ujinga wako unafikiri waislamu pekee wanafuga midevu? Hata sisi Wamatumbi tunafuga sema tu sisi hatufugi Majini tunafuga Ng’ombe wa Maziwa!!
Umetaja approximately 1.9 billion ya waislamu utafikiri ni sifa kumbe ni UHARO mtupu wanalalamika kila leo wanapigwa na nchi ndogo sana dunia Israel. Huo wengi wao hakuna maana yoyote ni ujinga mtupu umetawala.
Hlo ndio jibuZionists wana laana. Kamwe hawatopata amani.
Wana kichaa cha damu, wataendelea kuua na kuua mpaka ulimwengu utakapowageuka.
Mjinga kama wewe ndiyo hutaweza kusoma maana unaongozwa na Mihemko ya kidini tu wala Huna logicToa huu uharo kuna mtu kweli mwenye akili timamu atasumbuka kusoma
Huu uharo🤣
Wakati mwingine uwe unatumia akili zako vizuri!! Israel toka mwanzo ina vipaumbele vitatu kwenye vita hivi Kwanza kuhakikisha Gaza si hatari kwa Usalama wa Israel. Pili kuiondoa Hamas madarakani( eliminated )kutoka Gaza. Tatu kuhakikisha Mateka wote walitekwa Oct 07,2023 wanarudishwa nyumbani wakiwa hai au wafu. Sasa wewe na Aljazeera yako mnaleta ujinga gani huo kuongelea Israel kuondoka Gaza!! Mmekuwa vichaa toka lini? Mnafikiri wayahudi ni wajinga kama waarabu?