Video; Maandamano Tel Aviv kumpinga Netanyahu

Video; Maandamano Tel Aviv kumpinga Netanyahu

Wakati mwingine uwe unatumia akili zako vizuri!! Israel toka mwanzo ina vipaumbele vitatu kwenye vita hivi Kwanza kuhakikisha Gaza si hatari kwa Usalama wa Israel. Pili kuiondoa Hamas madarakani( eliminated )kutoka Gaza. Tatu kuhakikisha Mateka wote walitekwa Oct 07,2023 wanarudishwa nyumbani wakiwa hai au wafu. Sasa wewe na Aljazeera yako mnaleta ujinga gani huo kuongelea Israel kuondoka Gaza!! Mmekuwa vichaa toka lini? Mnafikiri wayahudi ni wajinga kama waarabu?
Mimi sina muda wa kusoma gazeti la uharo.
 
Wewe nimeishakupuuza wapi nimeleta mambo ya dini? Endelea kuandika uharo wako.
Unaponiletea takwimu za 1.9 ni Muslims ulitaka kusitisha nini! Hasa sasa hao 1.9 Billion wanashindwa na watu Million 7 tu wa Israel 🇮🇱. Hata hivyo Wamatumbi wenzangu wanamsemo “UKUBWA WA PUA SI WINGI WA MAKAMASI” kwa akili yako kiduchu unafikiri wengi wenu ni hoja? Wayahudi wako million 7 tu lakini wanalia Jambajamba kila Kukicha.!!
 
"Tumetosha, kwa Mungu, tumechoka, ee Bwana."

Kwa maneno haya, mwanamke aliyejawa na huzuni amewaaga wahanga wa shambulio la Israel katika eneo la Rafah kusini mwa Ukanda wa Gaza asubuhi ya leo.

Vikosi vya Israel vinaendelea kukiuka makubaliano ya kusitisha mapigano, na kuwauwa raia kadhaa katika mji huo, ambao umesalia nje ya wigo wa mapatano hayo.

View: https://x.com/gazanotice/status/1896535958775882045?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Mtanyooka tu acheni kujiliza-liza!! Oct 07,2023 mlikuwa mnashangilia mauaji mliyoyafanya leo hii wameanza kujiliza kutafuta huruma kwa watu!! Waambie watulie Netanyahu bado anaikoroga dawa yenu??
 
Nyie mnaovaa mashati ya vitenge mnakua na maneno mengi mnoo
 
Zionists wana laana. Kamwe hawatopata amani.

Wana kichaa cha damu, wataendelea kuua na kuua mpaka ulimwengu utakapowageuka.
Naomba unifafanulie hapa, dalili za mtu mwenye LAANA zikoje? I mean, ukitaka kujua mtu mwenye laana, huaga ana signs zipi? Msaada tafadhari
 
Wanaukumbi

Maelfu ya waandamanaji katika miji mbalimbali ya Israeli wametaka usitishaji mapigano kati ya Israel na Hamas uendelee na mateka zaidi waachiliwe.

Kadiri hatua ya kwanza ya makubaliano ya kusitisha mapigano ilivyomalizika Jumamosi, watu walikusanyika Tel Aviv, Haifa na kwingineko. Katika Tel Aviv, wanaharakati walikaa barabarani wakiwa wamevaa minyororo na barakoa zenye sura za mateka walioko Gaza tangu Oktoba 2023.

Kwa sasa, mateka 59 wako mikononi mwa wanamgambo wa Gaza, lakini inaripotiwa kuwa ni 24 tu walio hai.

Alexander Trufanov, raia wa Urusi na Israeli aliyeachiliwa wiki mbili zilizopita, alisema: "Kila siku nawafikiria waliobaki mateka. Tafadhali msiruhusu hasira na kisasi kushinda umoja na utu wa binadamu."

Hamas imekataa kurefusha makubaliano ya kusitisha mapigano ambayo yangewezesha kuachiliwa kwa mateka zaidi kwa kubadilishana na wafungwa wa Kipalestina.

Source: DPA International
Nikionaga post zako za Israel

Nachela Sina mbavu nkaagiza dompoo ninywe mpendwa
 
Unakunywaga pombe Kali ipi mpendwa nikurushie HATA na ya kutolea tufike mbinguni..hakikisha huendeshi gari lakini(kama unayo)
 
Unakunywaga pombe Kali ipi mpendwa nikurushie HATA na ya kutolea tufike mbinguni..hakikisha huendeshi gari lakini(kama unayo)
Kajifunze kwanzq kuandika kwanza kisha njoo tujadili.
 
Back
Top Bottom