Video; Maandamano Tel Aviv kumpinga Netanyahu

Video; Maandamano Tel Aviv kumpinga Netanyahu

Kaka wa mfungwa wa Kipalestina Khaled Mahmoud Abdullah anaelezea mshtuko wake baada ya kujua kuhusu kifo cha kaka yake katika magereza ya Israel, na kuthibitisha kwamba alikuwa akisubiri kuachiliwa kwake.

Mfungwa wa Kipalestina Khaled Mahmoud Abdullah alitangazwa kufariki jana katika jela ya Israel ya Megiddo, na hivyo kuongeza idadi ya wafungwa waliofariki tangu kuanza kwa mauaji ya kimbari ya Israel hadi 61, huku takriban 40 wakitokea Gaza.


View: https://x.com/qudsnen/status/1896914574885929020?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Hawa waandamanaji wangejiunga na HAMAS ili tuendelee kupata habari za ukweli, nimechoshwa na habari za kina mwijaku na mama yao.
 
Mshukuru wayahudi kwa wema wao wanawapa kipondo harafu wanawapa na Msosi mnakula mnashiba na mkishashiba mnawafanyia ugaidi!!
Unaumia sana mlokoke wa kwimba.. **** maji mengi lita 5 papo apo! Pole sn
 
Back
Top Bottom