Video: Madaktari Wakiendelea na Upasuaji wakati wa Tetemeko Kubwa la ardhi Urusi

Video: Madaktari Wakiendelea na Upasuaji wakati wa Tetemeko Kubwa la ardhi Urusi

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Video ya kushangaza kutoka Petropavlovsk-Kamchatsky, Urusi, imeonyesha madaktari wakiendelea na upasuaji wa mgonjwa wakati tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa 8.8 likitokea leo Julai 30, 2025 katika pwani ya mashariki mwa nchi hiyo

Licha ya mtikisiko mkubwa uliosababisha tahadhari ya tsunami katika maeneo mbalimbali ya Bahari ya Pasifiki, madaktari hao walionekana watulivu na waliendelea na kazi yao kwa umakini mkubwa ili kuokoa maisha ya mgonjwa

====

Video shows medics in Petropavlovsk-Kamchatsky, Russia, continuing a surgery on a patient despite a powerful magnitude 8.8 earthquake that struck off Russia's far eastern coast on July 30



Source: CNN
 
Back
Top Bottom