Kwahiyo jamaa katokea ukutaniπππHapa bila Shaka itakuwa ni Bunda Vijijini
Hapa bila Shaka itakuwa ni Bunda Vijijini
Sema hii video nayo imezidi kuniongezea siku za kuishiπ€£π€£π€£π€£, jamaa hajatafuta mlango wala nini.Hapa bila Shaka itakuwa ni Bunda Vijijini
Nimecheka venye amepita na huo ukutaππππ, ni shwaaaaaa.π€£π€£π€£ Nyumba za Bunda vijijini mlango sio ishu
Hatari sana yasikie tu Mtaa wa piliπ€£π€£π€£ Ndo ujue Adrenaline is powerful
Itakua huwa anaenda hapo kujisevia so arobaini yake imefikiaπ πNi kama alikuwa amejiandaa vile halafu sio tukio lake la kwanza.
He is very experienced