Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ingekuwa usiku.Sio rahisi kumkamata
Monetary doctor Al-mukheef njooni mkumtumbue huyu jamaa. Yawezekana ni Poor Brain au Lucas Mwashambwa maana hawa jamaa wameadimika sana jukwaani.Hapa bila Shaka itakuwa ni Bunda Vijijini
mbona kama AI VIDEOHapa bila Shaka itakuwa ni Bunda Vijijini
Madhara yako wapi sasa?Hapa bila Shaka itakuwa ni Bunda Vijijini
HeheheheheheheheheheheheheheheheMonetary doctor Al-mukheef njooni mkumtumbue huyu jamaa. Yawezekana ni Poor Brain au Lucas Mwashambwa maana hawa jamaa wameadimika sana jukwaani.
Vya Bure vinauaHehehehehehehehehehehehehehehehe
Hehehe we dada yaani video yote umekaza macho kwa John tu au cioAfu ni mzima kweli...kafumwa lakini john bado kasimama...
HeheheVya Bure vinaua
Nahisi alikuwa ana stop video kila baada ya robo sikunde ili Bwn John aonekane vyema.Hehehe we dada yaani video yote umekaza macho kwa John tu au cio
Na hiyo kitu ndio itamfanya akamatwe, kukimbia mtalimbo ukinesanesa namna ile ni maumivu.Afu ni mzima kweli...kafumwa lakini john bado kasimama...
Siyo Bunda wala si Tanzania, sikiliza lugha inayoongelewa.Hapa bila Shaka itakuwa ni Bunda Vijijini
🤣🤣🤣🤣🤣🙌Na hiyo kitu ndio itamfanya akamatwe, kukimbia mtalimbo ukinesanesa namna ile ni maumivu.