Video: Madhara ya kutembea na mke wa mtu vijijini

Yaani huyu jamaa ndiyo alikuwa Mze Wassira....kumbe Mzee bado anadai. Anakimbia kama kijana wa miska 20+?
 
Hapa bila Shaka itakuwa ni Bunda Vijijini
Wakati wa kufumaniwa ndio utajua kila binadamu ana IQ kubwa sana,laiti wangeweza kuitumia kufanyia maendeleo wangekuwa mbali sana....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…