MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Hali inazidi kuwa ngumu kwa Urusi kadiri wanavyoshindwa kuiteka Kiev, maelfu ya makomando wazoefu wa kivita wanazidi kutiririka Ukraine, ukizingatiia pia silaha nyingi zinapitishwa kuingia Ukraine kutokea kwenye mataifa ya NATO.
Putin anazidi kuwa frustrated na hivi vita vitamsumbua muda mrefu maana kiuchumi pia ametengwa na dunia.
Uturuki tayari imewafungia Urusi wasitumie Black Sea.
www.aljazeera.com
Putin anazidi kuwa frustrated na hivi vita vitamsumbua muda mrefu maana kiuchumi pia ametengwa na dunia.
Uturuki tayari imewafungia Urusi wasitumie Black Sea.
Russia cancelled Black Sea passage bid of four warships: Turkey
Cavusoglu says request to pass ships through Turkish straits was withdrawn on Ankara’s objection on February 27-28.