chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Sijajua kwanini wakenya wanalazimisha bifu na Urusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza kushughulikia haya!?Hakuna mtu yuko kwenye hali ngumu kama Putin, fahamu Russia huongozwa na Oligarchy, matajiri fulani hivi wenye hela za kumwaga, na kwa ilivyo sasa hao matajiri wamewekewa vikwazo kote kote na meli zao za anasa zinakamatwa kiholela, mabenki yao yanfungwa Uropa kote, hela zao zimeanza kutaifishwa, presha inazidi na wakiona imekua tabu watafanya lao moja tu huko Moscow.
Na lao moja muhimu ni kumfreeze mleta laana RussiaHakuna mtu yuko kwenye hali ngumu kama Putin, fahamu Russia huongozwa na Oligarchy, matajiri fulani hivi wenye hela za kumwaga, na kwa ilivyo sasa hao matajiri wamewekewa vikwazo kote kote na meli zao za anasa zinakamatwa kiholela, mabenki yao yanfungwa Uropa kote, hela zao zimeanza kutaifishwa, presha inazidi na wakiona imekua tabu watafanya lao moja tu huko Moscow.
stori za vijiwe vya kahawaKatika medani za kivita komandoo hawezi kujiweka wazi dunia imfahamu lkn kupitia hawa tunaowaona wakiingia kwenda kupigana....wapo makachero, makomandoo na wapiganaji wengine ndani mwao.
Mkenya MK254 kazidiwa na mahabaHao volunteers ndo makomandoo?
🤣🤣🤣🤣🤣
Siku zote usuluhishaji huja pale mumeshindikana hajapatikana mshindi kwenye ugomvi wenu, upande mmoja ukizidi wa pili, mchezo unakua umeisha hata bila kuita msuluhishi, ila kama mkiwa wote level moja ndani ya stalemate yaani hakuna anayemshinda mwingine, ndio hupaswa aje mtu wa kuwatenganisha, sasa kwenye huu ugomvi Putin amewekeza wanajeshi 120,000 ila ameshindwa kuteka mji mkuu, wanajeshi wameanza kupora chakula kwa njaa, hivyo wapo kwenye stalemate, na kadiri siku zinaenda ndivyo makomando wengi wanazidi kuingia Ukraine kujitolea mhanga na silaha zinaongezwa kwa maelfu.
Kuna hiki kifaa kimekua nongwa kwa urusi, kinaondosha hayo mavifaru balaa
PorojoKwanza kaa ukijua Putin hapigani vita, yupo ktk Operation maalum ya kijeshi
Wanaenda kuisha, ngoja Putin awaruhusu wale makomando wa ChenChen😅Hao volunteers ndo makomandoo?
🤣🤣🤣🤣🤣
Vita ikoje mkuu?Kwanza kaa ukijua Putin hapigani vita, yupo ktk Operation maalum ya kijeshi
Hakuna anayekataa, ila Urusi kaonekana mdogo kuliko alivyokuwaUkweli ni kwamba Ukraine hii Vita kapigwa
Hali inazidi kuwa ngumu kwa Urusi kadiri wanavyoshindwa kuiteka Kiev, maelfu ya makomando wazoefu wa kivita wanazidi kutiririka Ukraine, ukizingatiia pia silaha nyingi zinapitishwa kuingia Ukraine kutokea kwenye mataifa ya NATO.
Putin anazidi kuwa frustrated na hivi vita vitamsumbua muda mrefu maana kiuchumi pia ametengwa na dunia.
Uturuki tayari imewafungia Urusi wasitumie Black Sea.
![]()
Russia cancelled Black Sea passage bid of four warships: Turkey
Cavusoglu says request to pass ships through Turkish straits was withdrawn on Ankara’s objection on February 27-28.www.aljazeera.com
Makomandoo kama Jumanne Kingai wanatakiwa kupelekwa KyivHao volunteers ndo makomandoo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii mbinu Mr Slim PK alilitumia Sana, makamanda wakafanywa wakimbizi waende makambini kuminya wambeya watakaotoa Siri za yaliyojirii huko Rwanda!
Sasa Comedian, anapokea volunteers, wangu wangu hajui mrusi, anapenyeza watu wake watakaompa taarifa first hand, maeneo, silaha, idadi ya wapiganaji n.k
Huyo comedian of a president must go!
Kakaa nyuma ya keyboard! Akiangalia Chuck Norris
Very funny, mtu hajawahi kushika💣🔫🏹⚔️ anaitwa komandoo!?
Hii kali. Eti ana spirit Tu inatosha! Housekeeper wa Dubai! Akapigane?
Hicho kizee kimefanana na spy kabisa!
Walienda waziwazi bila kujificha Sirya na wakachemsha. Sasa hao wanaoingia kwa kujifichaficha watauweza musiki wa Russia?? Na hapo Russia anatuia 2% ya nguvu zake kijeshi..Hakuna mtu yuko kwenye hali ngumu kama Putin, fahamu Russia huongozwa na Oligarchy, matajiri fulani hivi wenye hela za kumwaga, na kwa ilivyo sasa hao matajiri wamewekewa vikwazo kote kote na meli zao za anasa zinakamatwa kiholela, mabenki yao yanfungwa Uropa kote, hela zao zimeanza kutaifishwa, presha inazidi na wakiona imekua tabu watafanya lao moja tu huko Moscow.
Siku zote usuluhishaji huja pale mumeshindikana hajapatikana mshindi kwenye ugomvi wenu, upande mmoja ukizidi wa pili, mchezo unakua umeisha hata bila kuita msuluhishi, ila kama mkiwa wote level moja ndani ya stalemate yaani hakuna anayemshinda mwingine, ndio hupaswa aje mtu wa kuwatenganisha, sasa kwenye huu ugomvi Putin amewekeza wanajeshi 120,000 ila ameshindwa kuteka mji mkuu, wanajeshi wameanza kupora chakula kwa njaa, hivyo wapo kwenye stalemate, na kadiri siku zinaenda ndivyo makomando wengi wanazidi kuingia Ukraine kujitolea mhanga na silaha zinaongezwa kwa maelfu.
Kuna hiki kifaa kimekua nongwa kwa urusi, kinaondosha hayo mavifaru balaa