Video: Maelfu ya makomando wa kujitolea wanaingia Ukraine kila siku ili kusaidia kwenye mapambano

Video: Maelfu ya makomando wa kujitolea wanaingia Ukraine kila siku ili kusaidia kwenye mapambano

Hili lilifikirika kitambo wakati tulidhani huyo Putin atamaliza shughuli ndani ya masaa 24.....mumesubirishwa hadi basi.
Eti mlidhani putin atamaliza ndani ya masaa 24. Kumbe tunajadiliana na fara.
 
Baada ya huu mkasa ndio utakuwa mwisho wa himaya ya Russia, Putin amejichimbia kaburi lake mwenyewe na ataingiamo mwenyewe.

Russia haitakaa ishinde hivi vita kwa sababu it's an unjust war and the all civilized world [emoji289] is behind the people of Ukraine.
Where was the civilized world in libya, yemen. Iraq etc.
 
Kwanza kabisa Ukraine haijajiunga NATO na ni majuzi tu baada ya Putin kuvamia ndio imewasilisha barua ya kujiunga rasmi......tafuta sababu nyingine ila acheni kujificha nyuma ya kisingizio cha NATO.
Kwa iyo russia kawehuka tu from no where akaamua kuwavamia. Asifanye ivyo miaka yote iyo aje kuvamia sasa hivi.
Nyinyi wote na balozi wenu ni vipuppets vya marekani na uingereza.
 
Katika maisha yako umeona Russia tu peke yake ndio aliovamia nchi ya watu?? basi kama unaakili hiyo utapata taabu sanaaaa

USA alivamia Japani ktk vita kuu ya pili ya dunia na mpaka leo hii bado hajaondoa majeshi yake, wajapani wamepiga kelele kuhusu hilo suala mpka wamechoka. Toka aivamie Iraq miaka 20 iliyopita na mpaka leo hii bado hajaondoa majeshi yake Iraq. Sirya pia nk. nk

So stop talking nonsense

Jielimishe historia kwanini Japan alivamiwa.
 
Mi sishabikii hii vita.. Ila jeshi la Ukraine linaleta utoto...
Ukraine wanazuia watu wasiondoke ili Rocket zikija walalamike Mrusi anauwa raia wao..
Kingine wanajeshi wa Ukraine wanajificha kwenye baadhi ya majengo na kuanzisha mashambulizi ambayo raia pia wapo humo.. Mrusi akishusha rocket inaonekana anapiga civilians
Wewe ni ..... Kwahiyo unataka mwanajeshi wa Ukraine aisubili hiyo Rocket ya Urusi akiwa uwanjani kweupe? Vita vikishaingia mjini lazima Hilo lijitokeze.
 
Kwa iyo russia kawehuka tu from no where akaamua kuwavamia. Asifanye ivyo miaka yote iyo aje kuvamia sasa hivi.
Nyinyi wote na balozi wenu ni vipuppets vya marekani na uingereza.
Ha ha ha! Ona ulivyo lipumbavu la mtu, umeishiwa hoja, maustadhi wengi mumeaminishwa ujinga eti Ukraine anavamiwa kisa kujiunga NATO ilhali hamna kitu Kama hicho, na juzi tu ndio wamewasilisha ombi.
 
Back
Top Bottom