BEDUI Jr
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 2,041
- 2,846
Wewe mwenye akili unasemajeWe kweli Zero brain.,...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwenye akili unasemajeWe kweli Zero brain.,...
Hakika, sio wote wakenya sisi wengine ni wa TZ kabisa, mimi sielew hawa wanaofurahia Ukrain kuvamiwa na viwavi wa RussiaSio kwamba wakenya wanalazimisha beef na Urusi ila ni wapumbavu wachache sana ambao wanaunga mkono uvamizi wa Russia dhidi ya Ukraine.
Hata sisi wengine pia tunapinga kitendo cha Russia kuivamia kijeshi Ukraine japo sio wakenya. Angalia kule UN mataifa mangapi yameipinga Russia na mangapi yameunga mkono uvamizi wao ndio fahamu zikurudie.
Hali inazidi kuwa ngumu kwa Urusi kadiri wanavyoshindwa kuiteka Kiev, maelfu ya makomando wazoefu wa kivita wanazidi kutiririka Ukraine, ukizingatiia pia silaha nyingi zinapitishwa kuingia Ukraine kutokea kwenye mataifa ya NATO.
Putin anazidi kuwa frustrated na hivi vita vitamsumbua muda mrefu maana kiuchumi pia ametengwa na dunia.
Uturuki tayari imewafungia Urusi wasitumie Black Sea.
![]()
Russia cancelled Black Sea passage bid of four warships: Turkey
Cavusoglu says request to pass ships through Turkish straits was withdrawn on Ankara’s objection on February 27-28.www.aljazeera.com
Wakenya pumba kabisa, we unafikili Tembo akikonda atakua sawa na Mbuzi ?Hakuna mtu yuko kwenye hali ngumu kama Putin, fahamu Russia huongozwa na Oligarchy, matajiri fulani hivi wenye hela za kumwaga, na kwa ilivyo sasa hao matajiri wamewekewa vikwazo kote kote na meli zao za anasa zinakamatwa kiholela, mabenki yao yanfungwa Uropa kote, hela zao zimeanza kutaifishwa, presha inazidi na wakiona imekua tabu watafanya lao moja tu huko Moscow.
Hatatokea huyo mtu acha kuota ndoto za mchana .Angetokea mrussia mmoja akamuua huyu jamaa wa kuitwa Putin itakua kasaidia ulimwengu sana
Hebu toa upuuzi wako hapaBaada ya huu mkasa ndio utakuwa mwisho wa himaya ya Russia, Putin amejichimbia kaburi lake mwenyewe na ataingiamo mwenyewe.
Russia haitakaa ishinde hivi vita kwa sababu it's an unjust war and the all civilized world [emoji289] is behind the people of Ukraine.
Putin ana utu sio kama mashetani wa magharibi hasa angekua muisrael angefumua nchi nzima bila kujali raia waliomo kwenye hio nchi, bora wasio na hatia wasepe wabaki wakina dada suzy wanyooshweHili lilifikirika kitambo wakati tulidhani huyo Putin atamaliza shughuli ndani ya masaa 24.....mumesubirishwa hadi basi.
Unajidanganya. Kinyume chake naona mwisho wa Uongo wa USA kuwadanganya Washirika wake kwamba atawalinda wakivamiwa.Baada ya huu mkasa ndio utakuwa mwisho wa himaya ya Russia, Putin amejichimbia kaburi lake mwenyewe na ataingiamo mwenyewe.
Russia haitakaa ishinde hivi vita kwa sababu it's an unjust war and the all civilized world [emoji289] is behind the people of Ukraine.
Russia , western country & America they are all devils, we choose sides.Sio kwamba wakenya wanalazimisha beef na Urusi ila ni wapumbavu wachache sana ambao wanaunga mkono uvamizi wa Russia dhidi ya Ukraine.
Hata sisi wengine pia tunapinga kitendo cha Russia kuivamia kijeshi Ukraine japo sio wakenya. Angalia kule UN mataifa mangapi yameipinga Russia na mangapi yameunga mkono uvamizi wao ndio fahamu zikurudie.
Siku zote usuluhishaji huja pale mumeshindikana hajapatikana mshindi kwenye ugomvi wenu, upande mmoja ukizidi wa pili, mchezo unakua umeisha hata bila kuita msuluhishi, ila kama mkiwa wote level moja ndani ya stalemate yaani hakuna anayemshinda mwingine, ndio hupaswa aje mtu wa kuwatenganisha, sasa kwenye huu ugomvi Putin amewekeza wanajeshi 120,000 ila ameshindwa kuteka mji mkuu, wanajeshi wameanza kupora chakula kwa njaa, hivyo wapo kwenye stalemate, na kadiri siku zinaenda ndivyo makomando wengi wanazidi kuingia Ukraine kujitolea mhanga na silaha zinaongezwa kwa maelfu.
Kuna hiki kifaa kimekua nongwa kwa urusi, kinaondosha hayo mavifaru balaa
Yaani inakushinda hata ccm kuchanganua mwamba inaelekea history na physics hukosoma wa maswala ya imani upo neutralHakika, sio wote wakenya sisi wengine ni wa TZ kabisa, mimi sielew hawa wanaofurahia Ukrain kuvamiwa na viwavi wa Russia
Kwa mwendo huu watapenya vinega wa kutosha kwa kisingizio cha ukomandooView attachment 2141444View attachment 2141445
ngoja nikutonye RUSSIA walijua kama hao kenge watakuja tu na atwafyagia vile vileNgoja niwatonye mkuu hao ni wanajeshi wa nato wanaingia kwa kivuli cha kujitolea Marekani hajawahi kuishiwa mbinu.
Ndo kwanza asubuhi......tikiseni tu mbuyu hadi jioni ikifika tuone makunyanzi ya marinda yenuNi kawaida kwa Urusi kupandikiza majasusi na hawajaanza leo, ila akipatikana mmoja kama huyo inakua aibu Kwa ukoo wake na wajukuu wake kwenye historia
Nenda kazoe mavi kibera.Ni kawaida kwa Urusi kupandikiza majasusi na hawajaanza leo, ila akipatikana mmoja kama huyo inakua aibu Kwa ukoo wake na wajukuu wake kwenye historia
Upo sahihi kabsa nmezungumza na mjeda flan aliyeko karibu na nchi anasema Ukraine wanalia kama watoto mrus kaharibu kila kitu..wanakimbia kama kuku had majeshi ya urus sometimes yanasaidia ku evacuate raia wasepeCha ajabu warusi ndio wanazidi kuiteka inchi ukreini imebaki na video za progaganda oh mala warusi wanatelekeza silaha sas najiulizi anayetelekeza silaha anatekaje mji furani ha ha ha ha wanajeshi wa ukraine wakiwauzia raia wasikimbie wanataka kuwafanya wenzao ngaoView attachment 2140682