Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama wanapinga kweli waweke No fly zone la sivyo wanaunga mkono oparation inayoendelea nahatutaacha yaaniSio kwamba wakenya wanalazimisha beef na Urusi ila ni wapumbavu wachache sana ambao wanaunga mkono uvamizi wa Russia dhidi ya Ukraine.
Hata sisi wengine pia tunapinga kitendo cha Russia kuivamia kijeshi Ukraine japo sio wakenya. Angalia kule UN mataifa mangapi yameipinga Russia na mangapi yameunga mkono uvamizi wao ndio fahamu zikurudie.
hata akitumia miaka uzuri nikwamba anayashusha majengo kiusahihi kabisa aendeleeeeUstadhi vipi mpaka leo bado mkuu wenu amekwama, mlituahidi atafagia ndani ya masaa 24, huwa mnamuona kama mtume.
NATO wanaandaa mrithi, Zelenskyy atakuwa kesha uawaCha ajabu warusi ndio wanazidi kuiteka inchi ukreini imebaki na video za progaganda oh mala warusi wanatelekeza silaha sas najiulizi anayetelekeza silaha anatekaje mji furani ha ha ha ha wanajeshi wa ukraine wakiwauzia raia wasikimbie wanataka kuwafanya wenzao ngaoView attachment 2140682
Sasa shusha nondo za physics, history na imani hapa mkuu twende sawaYaani inakushinda hata ccm kuchanganua mwamba inaelekea history na physics hukosoma wa maswala ya imani upo neutral
Umekula lakini!? Hungry manUstadhi vipi mpaka leo bado mkuu wenu amekwama, mlituahidi atafagia ndani ya masaa 24, huwa mnamuona kama mtume.
hata akitumia miaka uzuri nikwamba anayashusha majengo kiusahihi kabisa aendeleeee
ndio mtume si unaona katumwa aishughulikie UKRAINE na anaishughulikia vyema sanaaa
Hii ni video game sio halisiSiku zote usuluhishaji huja pale mumeshindikana hajapatikana mshindi kwenye ugomvi wenu, upande mmoja ukizidi wa pili, mchezo unakua umeisha hata bila kuita msuluhishi, ila kama mkiwa wote level moja ndani ya stalemate yaani hakuna anayemshinda mwingine, ndio hupaswa aje mtu wa kuwatenganisha, sasa kwenye huu ugomvi Putin amewekeza wanajeshi 120,000 ila ameshindwa kuteka mji mkuu, wanajeshi wameanza kupora chakula kwa njaa, hivyo wapo kwenye stalemate, na kadiri siku zinaenda ndivyo makomando wengi wanazidi kuingia Ukraine kujitolea mhanga na silaha zinaongezwa kwa maelfu.
Kuna hiki kifaa kimekua nongwa kwa urusi, kinaondosha hayo mavifaru balaa
Tatizo lenu wengine kuelewa kwa nini hawawezi kuanzisha A No Fly Zone japo limesemwa time without number but still you people with dull mind can't understand. Ngoja tuwaache hivyo hivyo kwa sababu wengine mna ile "Mujahedeen Mentality".kama wanapinga kweli waweke No fly zone la sivyo wanaunga mkono oparation inayoendelea nahatutaacha yaani
NonsenseBaada ya huu mkasa ndio utakuwa mwisho wa himaya ya Russia, Putin amejichimbia kaburi lake mwenyewe na ataingiamo mwenyewe.
Russia haitakaa ishinde hivi vita kwa sababu it's an unjust war and the all civilized world [emoji289] is behind the people of Ukraine.
Mi sishabikii hii vita.. Ila jeshi la Ukraine linaleta utoto...Upo sahihi kabsa nmezungumza na mjeda flan aliyeko karibu na nchi anasema Ukraine wanalia kama watoto mrus kaharibu kila kitu..wanakimbia kama kuku had majeshi ya urus sometimes yanasaidia ku evacuate raia wasepe
Mi sishabikii hii vita.. Ila jeshi la Ukraine linaleta utoto...
Ukraine wanazuia watu wasiondoke ili Rocket zikija walalamike Mrusi anauwa raia wao..
Kingine wanajeshi wa Ukraine wanajificha kwenye baadhi ya majengo na kuanzisha mashambulizi ambayo raia pia wapo humo.. Mrusi akishusha rocket inaonekana anapiga civilians
Unajua makubaliano yao 1991 ?Wewe sio shabiki na tayari unaongea ushabiki, huyo Mrusi amefuata nini kwenye nchi ya watu, angekaa kwake aone kama Ukraine atamfuata. Waliachika kwenye ndoa yao kila mmoja akachukua hamsini zake, hivyo haipaswi kupangiana nani asiolewe wapi.
Unajua makubaliano yao 1991 ?
Walikubaliana pamoja na kuachana ni marufuku ardhi yao kujiunga NATO..
Yeye mrussia alipoamua kuwa na urafiki na mchina alimuomba nani ruhusa. Aache kuingilia uhuru wa watu kujiamulia mambo yao.Unajua makubaliano yao 1991 ?
Walikubaliana pamoja na kuachana ni marufuku ardhi yao kujiunga NATO..
Katika maisha yako umeona Russia tu peke yake ndio aliovamia nchi ya watu?? basi kama unaakili hiyo utapata taabu sanaaaaWewe sio shabiki na tayari unaongea ushabiki, huyo Mrusi amefuata nini kwenye nchi ya watu, angekaa kwake aone kama Ukraine atamfuata. Waliachika kwenye ndoa yao kila mmoja akachukua hamsini zake, hivyo haipaswi kupangiana nani asiolewe wapi.
Ustadhi kwamba hapo umekaa unafikiri hilo halifahamiki Ukraine, kwa taarifa yako utakuta hao ni navy SEALS, SAS na makomando wengine wa kutokea mataifa ya magharibi ambao hawawezi kuhusishwa rasmi, inabidi waingizwe kwa namna ya kujitolea, sasa huyo unayesema kachero Mrusi ajipenyeze ndani ya hao.
Nashuku hata ndio maana jeshi la Putin limeshindwa kuteka mji wa Kiev, wanakutana na mapigo ya kikomando ambayo hawakua wamejiandaa....Halafu sasa hawa hapa chini ndio wanajeshi wa Urusi waliotolewa kafara na Putin kutangulia frontline, vitoto vidogo vimekamatwa vingi sana hadi huruma....Inabidi mama wao huko Urusi wapige simu kuwaliwaza maana wataanza kulialia.
![]()
Watakaobaki tunawazika maana hakuna namna nyingine tunayoweza kufanyaJiji la Kiev lina wakazi zaidi ya milioni 3, sasa wewe unaposema tu kwamba waondoke unataka waende wapi na kuna wazee, akina mama na watoto na wengine ni wagonjwa. Je uko tayari kuwahudumia uko? Hamna. This is nonsense.