Huo mgogoro hatuhitaji Kama dunia kuongezea wapambanaji, Bali tunahitaji wasuluhishaji.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wanataka baadae waseme Putin kaua Raia wehu hao.Cha ajabu warusi ndio wanazidi kuiteka inchi ukreini imebaki na video za progaganda oh mala warusi wanatelekeza silaha sas najiulizi anayetelekeza silaha anatekaje mji furani ha ha ha ha wanajeshi wa ukraine wakiwauzia raia wasikimbie wanataka kuwafanya wenzao ngaoView attachment 2140682
Kwanza kaa ukijua Putin hapigani vita, yupo ktk Operation maalum ya kijeshiSiku zote usuluhishaji huja pale mumeshindikana hajapatikana mshindi kwenye ugomvi wenu, upande mmoja ukizidi wa pili, mchezo unakua umeisha hata bila kuita msuluhishi, ila kama mkiwa wote level moja ndani ya stalemate yaani hakuna anayemshinda mwingine, ndio hupaswa aje mtu wa kuwatenganisha, sasa kwenye huu ugomvi Putin amewekeza wanajeshi 120,000 ila ameshindwa kuteka mji mkuu, wanajeshi wameanza kupora chakula kwa njaa, hivyo wapo kwenye stalemate, na kadiri siku zinaenda ndivyo makomando wengi wanazidi kuingia Ukraine kujitolea mhanga na silaha zinaongezwa kwa maelfu.
Kuna hiki kifaa kimekua nongwa kwa urusi, kinaondosha hayo mavifaru balaa
Wanakiherehere cha Bata kindaNikiona tu thread imeanzishwa na mkenya najua tu kuwa ni upuuzi umeandikwa.
Nakusihi nenda kashughulike na njaa ya kwenu huko.
View attachment 2140683
Katika medani za kivita komandoo hawezi kujiweka wazi dunia imfahamu lkn kupitia hawa tunaowaona wakiingia kwenda kupigana....wapo makachero, makomandoo na wapiganaji wengine ndani mwao.Hao volunteers ndo makomandoo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Urusi alikuwa anatafuta mahali Ya kutupa hivyo vyuma chakavu kaamua kuwatupia Wakirene.Siku zote usuluhishaji huja pale mumeshindikana hajapatikana mshindi kwenye ugomvi wenu, upande mmoja ukizidi wa pili, mchezo unakua umeisha hata bila kuita msuluhishi, ila kama mkiwa wote level moja ndani ya stalemate yaani hakuna anayemshinda mwingine, ndio hupaswa aje mtu wa kuwatenganisha, sasa kwenye huu ugomvi Putin amewekeza wanajeshi 120,000 ila ameshindwa kuteka mji mkuu, wanajeshi wameanza kupora chakula kwa njaa, hivyo wapo kwenye stalemate, na kadiri siku zinaenda ndivyo makomando wengi wanazidi kuingia Ukraine kujitolea mhanga na silaha zinaongezwa kwa maelfu.
Kuna hiki kifaa kimekua nongwa kwa urusi, kinaondosha hayo mavifaru balaa
Kwanza kaa ukijua Putin hapigani vita, yupo ktk Operation maalum ya kijeshi