Video: Maelfu ya makomando wa kujitolea wanaingia Ukraine kila siku ili kusaidia kwenye mapambano

Hili lilifikirika kitambo wakati tulidhani huyo Putin atamaliza shughuli ndani ya masaa 24.....mumesubirishwa hadi basi.
Eti mlidhani putin atamaliza ndani ya masaa 24. Kumbe tunajadiliana na fara.
 
Where was the civilized world in libya, yemen. Iraq etc.
 
Kwanza kabisa Ukraine haijajiunga NATO na ni majuzi tu baada ya Putin kuvamia ndio imewasilisha barua ya kujiunga rasmi......tafuta sababu nyingine ila acheni kujificha nyuma ya kisingizio cha NATO.
Kwa iyo russia kawehuka tu from no where akaamua kuwavamia. Asifanye ivyo miaka yote iyo aje kuvamia sasa hivi.
Nyinyi wote na balozi wenu ni vipuppets vya marekani na uingereza.
 

Jielimishe historia kwanini Japan alivamiwa.
 
Wewe ni ..... Kwahiyo unataka mwanajeshi wa Ukraine aisubili hiyo Rocket ya Urusi akiwa uwanjani kweupe? Vita vikishaingia mjini lazima Hilo lijitokeze.
 
Kwa iyo russia kawehuka tu from no where akaamua kuwavamia. Asifanye ivyo miaka yote iyo aje kuvamia sasa hivi.
Nyinyi wote na balozi wenu ni vipuppets vya marekani na uingereza.
Ha ha ha! Ona ulivyo lipumbavu la mtu, umeishiwa hoja, maustadhi wengi mumeaminishwa ujinga eti Ukraine anavamiwa kisa kujiunga NATO ilhali hamna kitu Kama hicho, na juzi tu ndio wamewasilisha ombi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…