Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Ttunasubirri video akiingia chooni kumega kubwa. Maana mmekosa cha maana kupost sasa
🙊🙊🙊🙊🙊🙊🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈Mwingine yupo busy kuliaibisha Taifa kwa kiingereza kichafu kama hichi
kiingereza cha jiwe hahaha
"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Mwisho wa kunukuu
@Erythrocyte mkuu nakuomba uwe unapandisha video kwa mfumo huu maana mfumo unaotumia kwa wengi zinagoma kufungukaMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu akionesha maana ya kuwa mtu-huru ndani ya nchi yake leo hii ...
endelea kutufuatilia hapa hapa jfYeye haendi kununua kwa wanyonge Tandale!!!
watu watakufa kwa hypertension mwaka huu hakiyanani!
jana alikuwa ananunua wapi wewe dada?Yeye haendi kununua kwa wanyonge Tandale!!!
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu akionesha maana ya kuwa mtu-huru ndani ya nchi yake leo hii.
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa
Sio habari ya dunia n habari yako
we suppose to change the direction"Mwingine yupo busy kuliaibisha Taifa kwa kiingereza kichafu kama hichi