Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Wewe unayeangalia Channel Ten utayajulia wapi ya duniani ?Sio habari ya dunia n habari yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unayeangalia Channel Ten utayajulia wapi ya duniani ?Sio habari ya dunia n habari yako
jana mbona alikuwa anapita kiluvya nye fisiccm mkaleta nguruwe wenuKwani kuna mtu anazuiwa kutembea .acheni siasa za kitoto
Imenipita hii dah, Nipatie link ya video mkuu ni nivunjike mbavu
... ha ha ha! Msituvunje mbavu jamani!Mwingine yupo busy kuliaibisha Taifa kwa kiingereza kichafu kama hichi
kiingereza cha jiwe hahaha
"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Mwisho wa kunukuu
Ila watu akili zao wanazijua wenyewe kwamba hawamuoni au wako bussy na yao
... ha ha ha! TOEFL test; ile test wanayofanya wazamiaji hachomoi!Hahahaha Jiwe ana kiingereza feki
Asipokuwa makini Uingereza itamzuia kuongea lugha yao maana anaiharibu
DuhMwingine yupo busy kuliaibisha Taifa kwa kiingereza kichafu kama hichi
kiingereza cha jiwe hahaha
"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Mwisho wa kunukuu
... maneno ya kujenga hoja za kemia hayo. "Suppose ...."; first you make an assumption; "as far as X is concerned ..."; then you hypothesize.Halafu jiwe vijineno "Supposed" na "as far as X is concerned" anavipenda kweli, nahisi wakati anajifunza hayo maneno aliyakremu vizuri kabisa
... yanayofanyika huko mashuleni katika mfumo wa elimu wa nchi hii ni aibu asikwambie mtu! No wonder taifa limenasa kweli kweli!Hivi alipokuwa mwalimu wa sekondari alikuwa anafundishaje? Mlisema pia ana PhD, ni kweli? Akuze kiswahili tu
We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that he is there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction ...Ttunasubirri video akiingia chooni kumega kubwa. Maana mmekosa cha maana kupost sasa
We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that he is there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction ...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mwingine yupo busy kuliaibisha Taifa kwa kiingereza kichafu kama hichi
kiingereza cha jiwe hahaha
"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Mwisho wa kunukuu
We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that he is there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction ...Wengi wetu hatukujua kama jamaa ni makamu mwenyekiti wa chama, anyway ngoja apambane ili aongeze kura kwenye zile 2% alizokuwa apate October
Bradha kama umepaniki ivi.Kwani kuna mtu anazuiwa kutembea .acheni siasa za kitoto
Wee, kasema hivyo kweli?Mwingine yupo busy kuliaibisha Taifa kwa kiingereza kichafu kama hichi
kiingereza cha jiwe hahaha
"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Mwisho wa kunukuu
We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that he is there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction ...Wee, kasema hivyo kweli?
.... ha ha ha! Kwa waliopitia UDSM, pale Nkrumah pana kupigiwa makofi kwa aina mbili!Halafu nikasikia watu wanapiga makofi wakati yeye anachochea
Mkuu weka basi kaclip siku yangu iishe vizuri.Mwingine yupo busy kuliaibisha Taifa kwa kiingereza kichafu kama hichi