MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,296
Uliwahi kusikia stori ya mfalme Juha?Halafu nikasikia watu wanapiga makofi wakati yeye anachochea
Alikuwa akitembea uchi mitaani na watu wazima wanashangilia na kusujudu kwa nidhamu ya woga hadi mtoto mdogo alipokuja kumshtua!