MPIGA ZEZE
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 2,539
- 2,296
Uliwahi kusikia stori ya mfalme Juha?Halafu nikasikia watu wanapiga makofi wakati yeye anachochea
SASA MTATUONESHA AKIINGIA MALIWATONIHii ndio taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa
Akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Game Super Market
View attachment 1594060
View attachment 1594061
Mwingine yupo busy kuliaibisha Taifa kwa kiingereza kichafu kama hichi
kiingereza cha jiwe hahaha
"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Mwisho wa kunukuu
Hii inaitwa kampeni ya kisayansi, tume walijua kampeni ni mpaka kuzunguka mikoaniHii ndio taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa
Akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Game Super Market
View attachment 1594060
View attachment 1594061
Kwa hali akutane na yule mshua wa BBC - HARDTALK itakuwaje. Au akutane na waandishi wa habari wa CNN maojiano itakuwaje. Safar za nje kususiwa zikk sabab nyingi kama hizo. Mliona Uganda Kaguta aliokoa JahaziHivi kwa kiingereza kinachochekesha kama hiki kwa mfano ungekuwepo ukumbini ungeachaje kushangilia na kupiga makofi
Ndio maana alimpoteza Ben saanane baada ya kugundua amemshtukia ana Phd fakewewe na kiingereza kisafi umefanikiwa kufanya nini mkuu??
😁😁inapendeza kwa kweli.Mwingine yupo busy kuliaibisha Taifa kwa kiingereza kichafu kama hichi
kiingereza cha jiwe hahaha
"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Mwisho wa kunukuu
Leta taarifa hata akiingia chooni dada!!Hii ndio taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa .
Picha : Akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Game Super Market
View attachment 1594060
View attachment 1594061
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa .
Picha : Akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Game Super Market
View attachment 1594060
View attachment 1594061
View attachment 1593944Klkjjll🤣🤣🤣🤣
Slavery mentality inakusumbua! Mwenzako yuko busy na kuiletea maendeleo ya taifa!Mwingine yupo busy kuliaibisha Taifa kwa kiingereza kichafu kama hichi
kiingereza cha jiwe hahaha
"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Mwisho wa kunukuu
Mkuu wa mkoa ameambiwa asiwe mpole
Mimi na yeye nani slave kwani umeshaniona nikiforce kiingereza kama yeye mwambie ukweli analiaibisha Taifa wakati yeye ni Phd holderSlavery mentality inakusumbua! Mwenzako yuko busy na kuiletea maendeleo ya taifa!
Mwingine yupo busy kuliaibisha Taifa kwa kiingereza kichafu kama hichi
kiingereza cha jiwe hahaha
"We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that his there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction"
Mwisho wa kunukuu
@Erythrocyte mkuu nakuomba uwe unapandisha video kwa mfumo huu maana mfumo unaotumia kwa wengi zinagoma kufunguka
asante.