Uchaguzi 2020 Video: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu aingia Mlimani City kununua mahitaji ya nyumbani

ni kweli ila Hapo kwenye kujaza watu mikutanoni kwake umesahau kuwataja washirika wengine Diamond , konde boy , Alikiba na Zuchu n.k
 
Mimi na yeye nani slave kwani umeshaniona nikiforce kiingereza kama yeye mwambie ukweli analiaibisha Taifa wakati yeye ni Phd holder
Mkuu kiingereza ni lugha kama lugha zingine tu mtu anaweza kukosea kama ambavyo anakosea kwenye lugha nyingine na cha kushangaza wewe unashobokea hiyo lugha wakati wenye lugha hawaoni kabisa hayo makosa! Mkuu jitambue!!
 
8 October 2020
Dar es Salaam, Tanzania

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu atoa mrejesho wa siku ya leo

Baada ya kutoka Mlimani city Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu afika soko la Manzese, sehemu zote hizo zipo ndani ya jiji la Dar es Salaam lenye wapiga kura takriban milioni 4 na kufurahishwa kuona bidhaa mbalimbali ikiwemo za ndani ya nchi kama mchele wa Mbeya n.k
 
Mkuu kiingereza ni lugha kama lugha zingine tu mtu anaweza kukosea kama ambavyo anakosea kwenye lugha nyingine na cha kushangaza wewe unashobokea hiyo lugha wakati wenye lugha hawaoni kabisa hayo makosa! Mkuu jitambue!!
Mbona hujielewi wewe mtu kasoma Phd kwa ambayo kiingereza haitakiwi kuwa tatizo sasa anakuwa kama mwanafunzi wa darasa la tatu kweli nimeanza kuamini hiyo Phd ni fake
 
Mbona hujielewi wewe mtu kasoma Phd kwa ambayo kiingereza haitakiwi kuwa tatizo sasa anakuwa kama mwanafunzi wa darasa la tatu kweli nimeanza kuamini hiyo Phd ni fake
Uelewa wako ni mdogo wachina, wajapan, wakorea n.k. wanazo hizo PHD lakini hawaongei kabisa Kiingereza na wakiongea ni broken english sana tu. Nimekaa nao hata wajerumani na warusi. Mkuu tembea uone au jitahidi kusoma sana taarifa mbalimbali utajitambua!!
 
pumbavu wewe wachina na wakorea wanasoma hizo Phd zao kwa kikorea na kichina yani lugha zao sasa huyo jiwe lenu alitumia lugha gani wakati anasoma Phd yake? kiswahili? ndio maana nyie mafisiccm hamna akili kabisa
 
wewe nyambaf wa ccm kwenye phd kiingereza haitakiwi iwe ni tatizo phd fake hiyo mwambie muda ukifika kila kitu kitakuwa wazi
Kitakuwa wazi kwa mzazi wako au? PHD anayo na Urais anao mpaka 2025 wewe utabaki na stress zako tu mpaka ufe!
 
Lissu anapendwa bwana [emoji2296].. leo kaacha gumzo hapa Mlimani City. Watu walifurika mida ya saa kumi baada ya kutoka makazini wakijua watamkuta Rais wao.. bahati mbaya alishaondoka.

Amejua kutuletea neema hapa Game. Wateja walifurika sana leo tofauti na siku zingine.
 
Wafanyakazi wa Game Supermarket Mlimani City wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Tundu Lissu alipofika hapo leo Septemba 08, 2020 kujitafutia mahitaji binafsi.
 
Hapo mkuu, Unamsingizia na umeongeza chumvi, hawezi kuongea broken kama hiyo. 🀣🀣
 
N
alafu kuna watu wakapiga makofiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ daah kuna watu wanafki nyieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kiingereza cha Jiwe ni duni kuliko cha darasa la tatu.Si alipie British school apate tuition.
 
Ndio maana alimpoteza Ben saanane baada ya kugundua amemshtukia ana Phd fake

ni wakati wako nawewe kuendeleza kuhoji ukweli wa hiyo phd,ili kumuenzi kamanda mwenzako ben saanane,ili kuweza kukuza uchumi wa mwana chadema mmoja mmoja na kukuza uhuruwa kujieleza.

maana vijana kama vijana tuna shida ya kuto focus kwenye mambo ya msingi ndio maana hatuendelei.
 
Ttunasubirri video akiingia chooni kumega kubwa. Maana mmekosa cha maana kupost sasa
Wewe nini kinaliwasha kuja huku?. Una washwa washwa sana.
 
Mkuu kiingereza ni lugha kama lugha zingine tu mtu anaweza kukosea kama ambavyo anakosea kwenye lugha nyingine na cha kushangaza wewe unashobokea hiyo lugha wakati wenye lugha hawaoni kabisa hayo makosa! Mkuu jitambue!!
Inauma eehπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Alimuua Ben wetu tena kwa mikono yake. This issue of Ben8 will never rest until we get justice it hurts me so much. Ben bro don't worry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…