Pre GE2025 Video: Makonda aingia Kahama na Greda la kuchongea Barabara

Pre GE2025 Video: Makonda aingia Kahama na Greda la kuchongea Barabara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Hivi ndivyo Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo (CCM), Paul Makonda alivyoingia Kahama Mkoani Shinyanga leo January 27,2024 akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake.



Nini maoni yako?

📹 AyoTv
 
Mambo mengine ya kujitakia. Kwani hiyo greda ni ya usafiri??

Akianguka huko chini likimsaga.

Halafu tuanze kusema ni mipango ya Mungu sio.
 
Bashite again hakika mama kaona mbali jinsi ya kuwateka wasukuma.
Bora aende na team jiwe itamuokoa na sio team meno ya tembo haiuziki
 
Ila mganga wa bshite kiboko aisee jamaa kapona jela,hii nafasi ina m
 
Hapo apewe msaidizi wake Awe Ally Hapi mbona kipele kitapata mkunaji
 
Back
Top Bottom