Pre GE2025 Video: Makonda aingia Kahama na Greda la kuchongea Barabara

Pre GE2025 Video: Makonda aingia Kahama na Greda la kuchongea Barabara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hivi mnadhani ukichaa huwa unakuja tu ghafla. Mwenzenu akili siyo zake, halafu wazima wanamshangilia aliyepatwa na ukichaa. Kuna siku watu watakuja kudharau na kujiuliza, kwa nini hatuluweza kutambua tangu mwanzo, pale alipokuwa anafanya hili na lile?
wivu tu mbwa nyie
 
Unajua sijaelewa, usafiri wa aina Mbali Mbali anaotumia Makonda kama Punda,Farasi,Trekta na Leo Grader anatakakutoa taswira Gani katika hizo ziara? Utamaduni wa Mahala husika? Uzalendo? Yaani sipati picha kabisa
Ushirikina tu
 
Back
Top Bottom