Pre GE2025 Video: Makonda aingia Kahama na Greda la kuchongea Barabara

Pre GE2025 Video: Makonda aingia Kahama na Greda la kuchongea Barabara

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bhaghosha Sana Ila Tanzania Wajinga Ni Wengi Sana
Huyu Alitakiwa Kufutwa Kazi Mapema Sana
Wajinga ni wengi kweli !
Hata ukiwasikiliza wasemaji wa klabu za mpira za Simba na Yanga wanapotoa statements zao kwa wananchi ni kama vile wanaongea na watoto wadogo na wajinga kwamba tutafurahia habari watakazotuambia !!
Kwa kweli tu wajinga !!
Sasa kusafiri na greda au punda kuna faida gani kuwaonyesha watu ilihali watu wanakujua huo sio usafiri unaoutumia siku zote !!
Watu wa namna hiyo ni wasanii tu katika kuwalaghai watu ambao ni mbumbumbu !!
Kazi kweli kweli !
 
Hivi ndivyo Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo (CCM), Paul Makonda alivyoingia Kahama Mkoani Shinyanga leo January 27,2024 akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake.

View attachment 2884641

Nini maoni yako?

[emoji329] AyoTv

Hivi mnadhani ukichaa huwa unakuja tu ghafla. Mwenzenu akili siyo zake, halafu wazima wanamshangilia aliyepatwa na ukichaa. Kuna siku watu watakuja kudharau na kujiuliza, kwa nini hatuluweza kutambua tangu mwanzo, pale alipokuwa anafanya hili na lile?
 
Makonda anakusanya posho tu za safari baada ya kukaa benchi kwa muda mrefu impact ya maigizo yake ya kijinga ni ndogo sana.
 
Days of our lives!/isidingo-the need

Hao wanaokwenda kwenye matamasha ya Bashite, wanakwenda kwa Nia ya kumuona huyo muigizaji...

Maana wamekuwa wakimuona kwenye tamthilia za saa2 usiku tu!
 
Nchi hii ni masikini sana aisee, shughuli za uzalishaji mali zipo katika small scale. Ona hiyo nguvu kazi inayopoteza muda hapo. Kwamfano hawa vijana wanaoimba mchaka mchaka hapo, wanalipwa shingapi? Tutegemee wakiwa wazee watakuwa wanajimudu kweli?
HILO NDIO LA KUSHANGAA.
Halafu kuna mtu a anasifa.!!!!!!!...
 
for a moment I thought he was going into a mine...(the helmet?)
 
Mambo mengine ya kujitakia. Kwani hiyo greda ni ya usafiri??

Akianguka huko chini likimsaga.

Halafu tuanze kusema ni mipango ya Mungu sio.
Suala siyo kuanguka hilo siyo hasara, hasara ni hilo greda kuacha kazi yake kwenda kufanya upumbavu.
 
Huyu dreva wa Hilo Greda ingefaa Sana ashitakiwe Kwa kuhatarisha maisha ya makonda na watumiaji barabara wengine. Hivi kweli Kabla ya kuliendesha alihakikishaje usalama wao… sehemu aliposimama makondo haiko design Kwa matumizi ya abiria… hizi Kiki Nyingine ipo siku zitagharimu uhai wa mtu na Askari wapo tu bila kumkamata huyo dreva…
 
Nchi ipo gizani ila sijasikia akizungumza kwa kumfokea waziri wa Nishati kama anavyofanya kwa wengine.
 
Back
Top Bottom