Video: Makonda aumbuka , uongo wake dhidi ya Mdee kuhusu barabara ya Makongo wakwama

Halafu inabadilisha nini? Hawajaoza na kuliwa na wadudu?
Wale wa kwako wakifa hakuna anayetaka kusikia habari zao na kujifunza kwayo . Wa Germany hawataki hata kusikia habari za Hitler . CAR hawapendi hata kukumbushwa habari za Bokassa.
 
Kosa kubwa la makonda ni kila kitu kukiweka kwenye siasa....
 
Wale wa kwako wakifa hakuna anayetaka kusikia habari zao na kujifunza kwayo . Wa Germany hawataki hata kusikia habari za Hitler . CAR hawapendi hata kukumbushwa habari za Bokassa.


Lkn Wajerumani na Dunia nzima inapenda kuendesha gari za Volkswagen group ( Audi, Porsche, Lamborghini, Bentley, Bugatti), Volkswagen ilianzishwa na Adolph Hitler, USA Interstate Highway System Raisi wa USA Eisenhower alikopi kutoka NAZI Germany, NASA space agency ya USA ilijengwa na Hitler’s scientists & engineers bila Adolf Hilter USA isingetua mwezini, kinywaji cha Fanta naamini hata wewe umeshawahi kunywa kiligunduliwa na nazi germany chini ya Adolf Hitler, Atomic bombs zote za USA na Soviet Union zilitegemea nazi scientists wa Adolf Hitler, B 52 Bomber ya USA ni nazi technology chini ya Adolf Hitler, kwa kifupi USA and Soviet Union Military superiority ilitegemea nazi technology iliyoibwa/taifishwa kutoka kwa Adolf Hitler.

Hivyo mbaniani mbaya lkn kiatu chake dawa, Dunia nzima mpaka leo hii inanufaika na nazi technology chini ya Adolf Hitler, ...
 
Hahahaaa umekunywa chai we ngedere??

Hii awamu mtaona picha zote

Na kwa Dsm..salaam zenu tunawaandalia 24/11

Nyumbu mfuu nyie..
Utafiti ule wa Twaweza kuhusu wapenzi wa CCM kuwa wengi wazee(vikongwe), wajinga na masikini wa kipato unaonekana uko sahihi 100% baada ya kusoma post yako hii.
Usaidiweje?
 
Madam Barbarosa ninaamini nafsi yako inakusuta. Kujaribu kutetea udhalimu kuwa ndiyo mfumo mzuri wa maisha. Kamwe haitafanikiwa Africa especially Tanganyika. Waganda hawana cha kujivunia kupitia utawala wa Amin, Zaire hawana cha kujipiga kifua mbele, na mfano mbovu wa Mobutu kujaribu kutengeneza international airport ktkt ya pori la Gbadolite. Libya leo imesambaratika kwa sababu Ghadaffi alidhani yeye ndiyo Alfa na Omega ya taifa hilo, bila kujali aliowaita mende.

Mifano ni mingi. Tanganyika inahitaji ueledi na uzalendo, lakini siyo dictatorship. Tutaishia kuwachukia wote wenye mawazo mbadala, ikiwa ni pamoja na kuwapoteza , kuwafunga na kuwadhalilisha. Lakini ukweli ni kuwa nchi imeharibiwa na hao mnaowatetea kwa nguvu zote. Ikiwa ni pamoja na mikataba mibovu na kuua mashirika ya umma. Si hawa wenye mawazo mbadala !!
 


Mimi nimejibu kulingana na ulivyoandika, wewe umesema Adolf Hitler Wajerumani hawataki hata kumsikia na hawana cha kujivunia naye, ndo nikakuelezea mambo aliyofanya Adolf Hitler ambayo mpaka leo hii yanasaidia siyo tu Ujerumani bali Dunia nzima, hata wewe na Familia yako ni wanufaika wa nazi Germany technology bila ya hata kujua, ushawahi kutumia dawa ya aspirini? Hiyo imegunduliwa na Adolf Hitlers nazi Germany.

Hata Idi Amini mimi nimefika Uganda, na ana picha positive kwa Waganda hata vijana klk hata viongozi hawa wa leo hii.
 
Mh Halima Mdee alishapeleka maombi ya kujengwa kwa barabara hiyo bungeni , katika vikao vilivyoongozwa na Naibu Spika Tulia Ackson.

UKIWA MUONGO JITAHIDI USIWE MSAHAULIFU

Jionee mwenyewe
Wanasema mitandao ndio watajua. Walala hoi wanajua NI Makonda aliomba kwa Rais.
 
Mwambie mbwiga huyo! Anadhani Makongo ndio kama kule kwao mtaa mzima ni ugomvi wa urithi wa nyumba na kuwangiana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…