Video: Makonda aumbuka , uongo wake dhidi ya Mdee kuhusu barabara ya Makongo wakwama

Makonda hajaumbuka na wala hatowahi kuumbuka!
Toka lini asdiye haya akaumbuka
 
Hii ni picha halisi ya kuonyesha hali ya maisha ya Washabiki wengi wa Chama Cha Mapinduzi. Wakiwakusanya hao na kuwavesha kofia na t-shirts basi wana tamba.
Kijana kama huyu na kwa umasikini alio nao (sio kuwa tunamcheka) waweza kumshawishi chochote kwa ahadi ya shibe na mavazi, hana muda wa kufikiri kuwa CCM ndiyo hiyo iliyo mletea umasikini huo.
Upinzani hukuti vijana wa hivyo, MTU anitafutie kijana mwenye sare za chama akiwa hali hiyo na naahidi picha hiyo kuiweka kwenye post zangu 10 mfululizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…