Video: Malasusa aelezea sababu ya kutofungua Jeneza la Lowassa

Video: Malasusa aelezea sababu ya kutofungua Jeneza la Lowassa

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
"Mara nyingi kunataratibu zikiendelea kwenye Kanisa watu wanafikili labda ndio sheria au utaratibu hatuna ulazima kwenye kanisa kufungua na kuoona mwili wa mwanadamu aliyelala, tuwe tunatazama tukiwa hai na sio kusubili binadamu aliyelala," Askofu Malasusa

Ni kweli sioni mantiki ya kuaga marehemu, kwa suala la mazishi nawapongeza waislamu, mtu akishakufa siku ya mazishi hakuna kupoteza muda kama sisi wakristo.
Hata mie naona sawa ...sie wenyewe kama familia tulikataa kufunua mwili wa marehemu mama yetu ...maana tuliona ni kuongeza kilio kwa wajukuu zake na waombolezaji wengine
 
"Mara nyingi kunataratibu zikiendelea kwenye Kanisa watu wanafikili labda ndio sheria au utaratibu hatuna ulazima kwenye kanisa kufungua na kuoona mwili wa mwanadamu aliyelala, tuwe tunatazama tukiwa hai na sio kusubili binadamu aliyelala," Askofu Malasusa

View attachment 2903914
Namuunga mkono askofu 100%.
Huu uamuzi binafsi niliuchukuq wiki kadhaa zimepita kwenye msiba wa mtu wangu wa karibu na kuufanya ndio utaratibu wangu mpya.

Namuaga mtu akiwa mgonjwa, akifa simuagi mara ya mwisho maana mtu akifa anakuwa udongo sio mtu tena.

Hii ni baada ya kuzembea kumuona jamaa yangu afaka siku hiyohiyo niliyohairisha kumuona hospital.

Kwa hili naungana na waislam na wayahudi.
 
Back
Top Bottom