Kipindi KKKT ilicho pigwa ni kipindi hiki cha kuongozwa na Mwalasusa.Analeta siasa kwenye mazishi!
Hata mie naona sawa ...sie wenyewe kama familia tulikataa kufunua mwili wa marehemu mama yetu ...maana tuliona ni kuongeza kilio kwa wajukuu zake na waombolezaji wengineNi kweli sioni mantiki ya kuaga marehemu, kwa suala la mazishi nawapongeza waislamu, mtu akishakufa siku ya mazishi hakuna kupoteza muda kama sisi wakristo.
Mtu akishakufa hana tena thamani. Mchwa wanasubiri kwa Hamu wakapte chakula chaoNi kweli sioni mantiki ya kuaga marehemu, kwa suala la mazishi nawapongeza waislamu, mtu akishakufa siku ya mazishi hakuna kupoteza muda kama sisi wakristo.
Namuunga mkono askofu 100%."Mara nyingi kunataratibu zikiendelea kwenye Kanisa watu wanafikili labda ndio sheria au utaratibu hatuna ulazima kwenye kanisa kufungua na kuoona mwili wa mwanadamu aliyelala, tuwe tunatazama tukiwa hai na sio kusubili binadamu aliyelala," Askofu Malasusa
View attachment 2903914