Video: Malasusa aelezea sababu ya kutofungua Jeneza la Lowassa


Huyu naye amekua mwanasiasa kama tiara anaenda na upepo

Sababu ya kutoonyesha mwili ni Binafsi ya familia ( Lakini katika hali ya kawaida nani anataka mwili wa ndugu yake aliyelala kitandani miaka miwili ionekane tu ; atakua kabadilika sana na sio yule mnayemjua) familia imechagua watu wabaki na taswira njema ya Lowassa aliyejaaaa tabasamu na sio kubakia na ya Lowassa aliyedhoofu kwa maumivu na kuugua
; Hilo halihitaji maelezo angesema tu familia ime omba privacy simple
 
Sasa kama haufungui jeneza mnaaga nn sasa? Kwahio walizunguka tu jeneza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…