Video: Malasusa aelezea sababu ya kutofungua Jeneza la Lowassa

Video: Malasusa aelezea sababu ya kutofungua Jeneza la Lowassa

Mwili Umeharibika. Malasusa alipaswa tuu kusema ukweli. Marehemu wangapi wameangaliwa?
Busara haiuzwi dukani mkuu, hivi umewahi kufiwa? Utajisikia vipi nikisimama nikasema mwili wa baba yako mzazi umeharibika sana na hatuwezi kufungua sanduku utajisikiaje?

Mbona mnakuwa kama wanyama?
 
Busara haiuzwi dukani mkuu, hivi umewahi kufiwa? Utajisikia vipi nikisimama nikasema mwili wa baba yako mzazi umeharibika sana na hatuwezi kufungua sanduku utajisikiaje?

Mbona mnakuwa kama wanyama?
Mkuu nimewahi kufiwa na baadhi ya Marehemu miili Yao Kutokana na ugonjwa iliharibika na hatukuwaaga kwa kufungua Jeneza. Tulipenda watu wabakie na taswira nzuri ya Marehemu enzi za uhai wake.
 
Binafsi sina utaratibu wa "kuaga mara ya mwisho"! Siwezi kuaga maiti, unaagaje maiti, au unatoaje heshima kwa maiti...its nonsense.
 
Leo ndo wanajua , wawaelimishe waunini wao mambo ya kuuaga mwili ni ya kishamba na hayapo popote
Siyo kweli; last respect hufanyika kwa njia tofauti tofauti ikiwa ni pamoja na kuuona mwili wa marehemu kwa mara ya mwisho kwa kufungua jeneza au kwa kutumia jeneza leng mlango wa kioo.

1707970730506.jpeg
 
Kwa wale ambao hawajaonana nae kwa mara ya mwisho, mfano, wewe uko Kenya, ndugu yako akafariki na ukaja kumzika, hamjaonana muda hata miaka 2 ama 3, nafasi ya kuonana nae mara ya mwisho hukuipata, hapo una maoni gani mkuu.
Siku uliyo onana nae au kuongea nae ndio ya mwisho
Suala la msingi mtu anapo fariki ni kuzikwa tu hayo ya kuangaliana sidhani kama yana tija
 
Busara haiuzwi dukani mkuu, hivi umewahi kufiwa? Utajisikia vipi nikisimama nikasema mwili wa baba yako mzazi umeharibika sana na hatuwezi kufungua sanduku utajisikiaje?

Mbona mnakuwa kama wanyama?
Sio mara ya kwanza kwa marehemu kuagwa pasipo kufunguliwa jeneza na wala haitakuwa ya mwisho kwa sababu mbalimbali, na mara nyingi tu sababu huwa hutolewa ya mwili kuharibika kwa sababu mbalimbali kama kifo cha maji, ajali mbaya ya moto, ndege ama barabara, ama joto (uhifadhi), Ni ubinadamu wetu hatujaumbwa kwa material yasiyoharibika.
 
"Mara nyingi kunataratibu zikiendelea kwenye Kanisa watu wanafikili labda ndio sheria au utaratibu hatuna ulazima kwenye kanisa kufungua na kuoona mwili wa mwanadamu aliyelala, tuwe tunatazama tukiwa hai na sio kusubili binadamu aliyelala," Askofu Malasusa

View attachment 2903914
Alishasema yeye na CCM ni kitu kimoja.
alishajipambanua hawezi kutofautiana na Serikali.
Yeye kama Mlutheri anaamini ibada za wafu?
Je, kama mwili haujafunuliwa na wanasema wanatoa hesham za mwisho na anasema ni misa ya kumwombea marehemu aende mbinguni, sisi waumini wachanga wa kilutheri tunamuuliza, hivi Baba Malasusa, mtu akifa- raho yake inabaki kwenye mwili kusubiri sala ndio iende jehanamu au mbi nguni?

Kwamba , mtuambie kaabisa watu waibe, waue ilimradi wajikusanyie fedha za kutosha na baadae wakifa waombewe waende mbinguni?
 
Tutalifungua na tutakuaga hutakuwa na cha kutufanya.

Itakua ni kinyume na maagizo yangu. Na sifikirii Kuna watu watakua tayari kubadili maagizo yangu.

Hata hivyo chochote kitakachofanyika kwenye huo mwili ni taratibu tu hakibadili hisia au namba nilivyogusa watu enzi za uhai wangu, haitafanya nikumbukwe vizuri au vibaya Kwa kufungua au kutokufungua jeneza.
 
Back
Top Bottom