Uchaguzi 2020 Video: Mapokezi ya Tundu Lissu huko Igunga

nimesikia hiyo tetesi
Mkuu juzi nilikua na ndugu yangu ni katibu wilaya ccm sehem flani hapa tz Sasa katika maongezi tukafika siasa nikamwambia umeusikia wimbo mpya wa aiyaya chadema ,kweli aliusikiliza mpaka mwisho ,mwisho akasema ,hiki kijamaa kinatupeleka mpera mpera ,huyu ni Freemason, sio bule, so nakubali tetes Kama hizi zipo
 
😆😆😆😆
 
Flayiova, esigiala, meli na bombadia ndio zinawafanya wawe na kiburi eti wamewafanyia wanachi maendeleo [emoji23][emoji23] subiri Oct 28 wataenda kuishi kwenye hizo bombadia na flayiova zao...
Mnajitekenya mnacheka wenyewe. Endeleeni kujifariji. Mmesahau 2015 kulikua na mafuriko, yakaja yakawazoa wenyewe.
 
Hawa vijana wanatakiwa wakapige kura wasiishie kuwa mashabiki kama wa timu za mpira
 
Back
Top Bottom