Uchaguzi 2020 Video: Mapokezi ya Tundu Lissu huko Igunga

Uchaguzi 2020 Video: Mapokezi ya Tundu Lissu huko Igunga

Jiwe akipita tena sina uhakika na kutoboa miaka 5 maana anaonekana kadhoofu kiafya ndio maana kwenda garage kumezidi,hapo ndipo mtaelewa wote waliomdhihaki Lowassa wataisha mmja Baada ya mwingine
Aiseeee !!
 
Mimi na mke wangu kura zote tunampa MWAMBA TUNDU LISSU!!!
 

Hakika usije ukathubutu kushindana na aliyejaaliwa , pamoja na vikwazo vya kila namna ikiwa ni pamoja na uchawi , lakini Mh Lissu anazidi kuungwa mkono.

Haya hapa ni mapokezi yake alipokuwa anaingia viwanja vya Barafu Mjini Igunga - Tabora, jionee mwenyewe

 
Ccm wanatamani watume polis wakavuruge huo mkutano, ccm kwao haki sawa kwa vyama vyote halimo...
dunia inafuatilia kwa karibu, ushahidi unakusanywa na mpaka sasa umeshajitosheleza. Tuendelee kujazia kila aina ya ushahidi.
 
Back
Top Bottom