Uchaguzi 2020 Video: Mapokezi ya Tundu Lissu huko Igunga

Jiwe akipita tena sina uhakika na kutoboa miaka 5 maana anaonekana kadhoofu kiafya ndio maana kwenda garage kumezidi,hapo ndipo mtaelewa wote waliomdhihaki Lowassa wataisha mmja Baada ya mwingine
Aiseeee !!
 
Mimi na mke wangu kura zote tunampa MWAMBA TUNDU LISSU!!!
 
 
Ccm wanatamani watume polis wakavuruge huo mkutano, ccm kwao haki sawa kwa vyama vyote halimo...
dunia inafuatilia kwa karibu, ushahidi unakusanywa na mpaka sasa umeshajitosheleza. Tuendelee kujazia kila aina ya ushahidi.
 
Hii ni nyomis!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…