JF siyo ya porojo hapa siyo kwa Mwamposa weka hayo majina.Hamas waliouawa kwenye lile shambulizi idf imetoa majina yao
Umeuliza swali zuri na kiuledi.Siajaelewa yaan niwe na nishati ya kutsheleza halafu tena ni nunua kwa majirani kwa nini ni simuuzie huyo jiran
Uharo mtupu.Umeuliza swali zuri na kiuledi.
Ni hivi, mahusiano ya nchi huwa yanatengenezwa na ties, mijawapi ya hizi ties ni pale unapoweza mkakubaliana kwamba, badala ya sisi kuja huku na kununua magari kwanini usije nchini kwetu ukafungua kiwanda cha ku assemble?
Au, tuna mpango wa kuanza kutengeneza simu, ila tutaangalie ni kampuni ya nchi gani tuipatie tender ya kututengenezea screen or power ACE. Hap unaowapatia hiyo tender unakiwa unajaribu kuwafanya waione thamani yako kwao, unawapatia soko la products zao, kwa kuwapatia soko unakuwa unawasaidia kujiimarisha kiuchumi. Ila, katika maeneo ambayo umeamua kuwapatia wayahudumie yanakuwa ni yale ambayo unayamudu lakini unakia umeamua ku trade kwa ajili ya mahusiano.
Mfani halisi nikupe, mteja mkubwa wa mbao za Canada ni US, mteja mkubwa wa umeme wa Canada ni US, mteja mkubwa wa maziwa ya Canada ni US, je unadhani ni kwa sababu US hawezi au hana technology ya kuzakisha umeme? Unaona jinsi US amemkamata Canada? Si sababu ya ujirani wa mipska, bali hizi economic ties ndiyo zimewafungamanisha. Je unadhani US hawana miti ya mbao?
Huwa unasoma bila ya kuelewa, siku si nyingi utaelewa. Wewe unadhani hao ni wapumbavu wajiegemezi kwa Turkey kwa kitu ambacho hawakimydu? Unafikiri ni sawa na huko Tanzania?Wewe mlokole mbona muongo JF siyo sehemu ya porojo mnavyodanganywa na Mwaposa mnadhani kila mtu mtandanganya unaandika uharo bila ushihidi wowote. Weka data kama hivi.
The Israeli Defense Ministry has extended a contract with Dorad Energy, a power plant partially owned by a Turkish businessman with close ties to Turkish Presid… Source: Turkish Minute Erdoğan crony owns 25 pct of Israeli power plant supplying IDF: report - Turkish Minute
Sasa Mzee Uharo wewe kila kitu unahara tu, hicho kihario kitakuwa salama kweli?Uharo mtupu.
Nimekuuliza swali, Je ukischa hiyo 7% ya umeme anayonunua kutoka Turkey, je hizo 93% anazitoa wapi?Angekuwa anaweza asingerely kwenye kampuni ya turkey tena kwenye sector nyeti kama wizara ya ulinzi na idf
Kama hutaki kuinuka haulazimishwi, unaweza ukaendelea kuinama hivyohivyo, si umenogewa tayariUnafahamishwa Israel wananua umeme Utaruki unaleta mfano wa kipumbuvu kabisa ohoo Canada anauzoa mbao Marekani huu uharo wako nani anataka.
Hamas waliouawa kwenye lile shambulizi idf imetoa majina yao
Sasa mbona hao quds wanajificha nyuma ya watoto na akina mama?! Hawana utu kabisa
Kwisha habari yako hamna ushahidi wa picha wala video inakuja na katuni kweli walokole wa JF wana vituko mnavaamini sanamu basi mnataka kila mtu aamini sanamu😀Sasa mbona hao quds wanajificha nyuma ya watoto na akina mama?! Hawana utu kabisa
Hehe70 Israeli commandoes with some American and British special forces launched an operation against the Houthis.
Russian satellite surveillance picked them up and gave the information to Iran who in turn told the Houthis who are fierce warriors.
All 70 are dead.
How fragile is Israel 😄 🤣Na wao pia hawakuua Houthi hata mmoja.
Wamevamiwa ghafla kama kuku wale kuku wa kufuga.