Mkiambiwa makomando wa Israel ni moto wa kuotea mbali, yaani hapa kama movie, jamaa wameicheza kiaina aki ya nani nimefurahi hadi naumwa, hii itaandikwa kwenye vitabu na movie zitakua shot nyingi, makamu wa magaidi pia amekamatwa hai Abu A'ali the Deputy Commander of the Hamas.
The Flotilla 13 elite unit was deployed to the area surrounding the Gaza security fence in a joint effort to regain control of the Sufa military post on October 7th. The soldiers rescued around 250 hostages alive. 60+ Hamas terrorists were neutralized and 26 were apprehended—including Muhammad Abu A'ali the Deputy Commander of the Hamas southern Naval Division.
... kuna kenge mmoja humu jf alikebehi kama waliokoa mateka wa Entebe wanasubiri nini kwenda kuokoa mateka wa Gaza? Nadhani atakuwa amepata ujumbe sawia!
... kondoo 1 aliyeko kwenye makanywa ya fisi ni wa thamani kuliko 99 ulio nao. Hiyo ndio filosofi inayoongoza operesheni za uokoaji za Israel toka nyakati za kijana mdogo Daudi akichunga hupigana na simba hadi kumwua ili kumwokoa kondoo aliyeporwa!
Mna akili lakini hamwezi kufahamu mambo haya enyi wana wa haramu!
HAMAS ni freedom fighters wao kufa wakipigania uhuru ni poa tu its for the cause ... Kitendo tu cha hao wanamgambo wa hamas na kushikilia mateka 250 na kuna kuokolewa na makomandoo ni ushindi tosha
... kondoo 1 aliyeko kwenye makanywa ya fisi ni wa thamani kuliko 99 ulio nao. Hiyo ndio filosofi inayoongoza operesheni za uokoaji za Israel toka nyakati za kijana mdogo Daudi akichunga hupigana na simba hadi kumwua ili kumwokoa kondoo aliyeporwa!
Mna akili lakini hamwezi kufahamu mambo haya enyi wana wa haramu!
60+ (sixty plus) anamaanisha zaidi ya sitini (60 na zaidi) kiidadi na siyo asilimia. Hapo inaweza kuwa 61 au 65 au 67 n.k. Ni lugha ya makadirio kabla ya hesabu kamili kutolewa.