Video: Mateka 250 waokolewa, HAMAS 60 wauawa na 26 kukamatwa

Israel ni taifa teule jamani..wacheni kubishana na Mungu mtaangamia
Hahahah msome Mr uharo hapa chini.

Mkiambiwa makomando wa Israel ni moto wa kuotea mbali, yaani hapa kama movie, jamaa wameicheza kiaina aki ya nani nimefurahi hadi naumwa, hii itaandikwa kwenye vitabu na movie zitakua shot nyingi, makamu wa magaidi pia amekamatwa hai Abu A'ali the Deputy Commander of the Hamas.
😂😂😂😂😂🤣🤣
 
... kuna kenge mmoja humu jf alikebehi kama waliokoa mateka wa Entebe wanasubiri nini kwenda kuokoa mateka wa Gaza? Nadhani atakuwa amepata ujumbe sawia!
Dogo,kulia kwenye hii clip ni ukuta uliojengwa na Israel.

Mbele ya hii screenshot ni mnara WA ukaguzi WA ukuta.

Turudi kwenye madai Yako,mateka watafichwa mpakani kati ya Gaza na Israel?
 
Yani hadi raha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…