harakati za siri
JF-Expert Member
- Aug 23, 2020
- 1,074
- 2,870
Kwani yana muda basi yatabumburuka tu, tunasubiri wadhulumiane hela za kukodishwa kufanya fujo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hamuwataki wazalendo halisi mnawataka wazalendo feki,hapo ni kikundi Cha kununuliwa watanzania wazalendo was kweli muwapuuze na mfanye maamuzi sahihi kwenye sanduku la kura.Asanteni kwa kunielewa.Hapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza.
9uu
Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua zichukuliwe la sivyo tutaanza kulaumiana!
Hahaha yaani wahuni hawafiki hata 10 ndio wamtishe Mbowe?Waangalie vizuri hao ndio waliompigia kura awamu iliyopita. Kwa style hii naona bora atafute shughuli nyengine ya kufanya.
Hapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza.
Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua zichukuliwe la sivyo tutaanza kulaumiana!
Cha ajabu wakazi wa Narumu hapo ni kama 4 hao wamesafirishwa kutoka Bomangombe na Masama, huyo mzee mwenye ndevu huwa anauza dawa za kimasai Sadala na Boma waliona naye wampe hela aende huko. Yupo mmoja ni mwalimu shule ya private sijui ni njaa ya nini hiyo wao wawili wanaoongea mwisho wamelewa chakari wanakuwaje na ufahamu kuwa mbowe sioHapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza.
Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua zichukuliwe la sivyo tutaanza kulaumiana!
Hahah endeleeni tu kujifariji! Mwenyekiti wenu hana chake huko Hai! Maskini DJ ndo mana yupo kimya sana!
Ngoja kesho technologia ianze kuwaumbua kama walivyoumbuka last time. Yalikuwa mafisiem matupu. Kesho tunaanza kutupia picha zao mmoja baada ya mwingine full katika rangi zao za kijani na kitapeliChadomo mnaweweseka em angalia vizuri hiyo video kiufupi DJ wenu hakubaliki na hawamtaki Hai ! Labda humu Jf !
Wakati hao wanaimba hivyo wafuasi wa mbowe walikuwa wapi?Hapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza.
Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua zichukuliwe la sivyo tutaanza kulaumiana!
Sabaya anatakiwa awe na hekima aache mambo ya kitoto na ya kishamba na asiongozwe na ujinga hicho anacho fanya kinalichafua taifa ingawa yeye anaamini anapambana na mbowe kwa maslahi ya kumfurahisha aliye mpa mdaraka.Hapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza.
Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua zichukuliwe la sivyo tutaanza kulaumiana!
Swali zuri kabisa la kujiuliza! Je kwa nini Hai tu? Hapa ni mambo mawili tu, wanamihemko au wanatumwa kwa ahadi ndogondogo. Sema mirungi Bomang'ombe inauzwa sana na inabakia, then inasafirishwa kwa pikipiki mpaka Mererani.Nchi nzima zomeazomea ipo jimbo la Hai tu. TL alivyoenda hai alikutana na Zomeazomea. Hiyo ni mipango ya Watu walioishiwa mbinu.
Walipozomea bukoba mkasikia raha na mgombea wenu akasema lazima ukubali kuzomewa au kushangiliwa, sasa nini kina wauma?Hall hii ikizidi ghasia zitaanza, haya mambo sio ya kufumbia macho.
Hapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza.
Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua zichukuliwe la sivyo tutaanza kulaumiana!
We umeona kuna kijana wa CCM hapo? Hao ni BAVICHA wamechachamaa tulieni.
Kwanini yasikutokee wewe...acha kutabiri vifo kwa wenzio...au umepanga njama za kumuua?!Natabiri Leo. Yaliyomtokea Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr Kreluuu yatakuja kumtokea mkuu wa wilaya ya Hai.
Lini Mungu anajua