Uchaguzi 2020 VIDEO: Mbowe azomewa tena Hai. Ipo haja ya kuchukua hatua vinginevyo kunaweza kutokea maafa

Uchaguzi 2020 VIDEO: Mbowe azomewa tena Hai. Ipo haja ya kuchukua hatua vinginevyo kunaweza kutokea maafa

Ukiwaangalia tu hao wanaosema hawamtaki Mbowe hawafanani na Wakaazi wa Hai, wanaonekana kabisa wamechoka, walevi na walionunuliwa kwa bei rahisi sana
 
Huu mchezo wa zomea zomea usipidhibitika ukaanza kuambukiza maeneo mengine itakuwa too late.
 
Hapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza.
9uu
Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua zichukuliwe la sivyo tutaanza kulaumiana!

Kama hamuwataki wazalendo halisi mnawataka wazalendo feki,hapo ni kikundi Cha kununuliwa watanzania wazalendo was kweli muwapuuze na mfanye maamuzi sahihi kwenye sanduku la kura.Asanteni kwa kunielewa.
 
20200919_173148.jpg
 
Waangalie vizuri hao ndio waliompigia kura awamu iliyopita. Kwa style hii naona bora atafute shughuli nyengine ya kufanya.
Hahaha yaani wahuni hawafiki hata 10 ndio wamtishe Mbowe?

Hapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza.

Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua zichukuliwe la sivyo tutaanza kulaumiana!

Hapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza.

Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua zichukuliwe la sivyo tutaanza kulaumiana!

Cha ajabu wakazi wa Narumu hapo ni kama 4 hao wamesafirishwa kutoka Bomangombe na Masama, huyo mzee mwenye ndevu huwa anauza dawa za kimasai Sadala na Boma waliona naye wampe hela aende huko. Yupo mmoja ni mwalimu shule ya private sijui ni njaa ya nini hiyo wao wawili wanaoongea mwisho wamelewa chakari wanakuwaje na ufahamu kuwa mbowe sio
 
Ngoja
Hahah endeleeni tu kujifariji! Mwenyekiti wenu hana chake huko Hai! Maskini DJ ndo mana yupo kimya sana!
Chadomo mnaweweseka em angalia vizuri hiyo video kiufupi DJ wenu hakubaliki na hawamtaki Hai ! Labda humu Jf !
Ngoja kesho technologia ianze kuwaumbua kama walivyoumbuka last time. Yalikuwa mafisiem matupu. Kesho tunaanza kutupia picha zao mmoja baada ya mwingine full katika rangi zao za kijani na kitapeli
 
Hapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza.

Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua zichukuliwe la sivyo tutaanza kulaumiana!

Wakati hao wanaimba hivyo wafuasi wa mbowe walikuwa wapi?
 
Hapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza.

Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua zichukuliwe la sivyo tutaanza kulaumiana!

Sabaya anatakiwa awe na hekima aache mambo ya kitoto na ya kishamba na asiongozwe na ujinga hicho anacho fanya kinalichafua taifa ingawa yeye anaamini anapambana na mbowe kwa maslahi ya kumfurahisha aliye mpa mdaraka.

Anatakiwa kujua hicho anacho fanya na kukiratibu kinatazamwa kwa jicho tofauti kabisa na anavyo tazama na kufikiria yeye washauri wake mshaurini huyo bwana mdogo

Mwambie watu wanaa akili za juu yake hawabebi mambo kiwepesi kama anavyo ona yeye kwa ufahamu wake.
 
Nchi nzima zomeazomea ipo jimbo la Hai tu. TL alivyoenda hai alikutana na Zomeazomea. Hiyo ni mipango ya Watu walioishiwa mbinu.
Swali zuri kabisa la kujiuliza! Je kwa nini Hai tu? Hapa ni mambo mawili tu, wanamihemko au wanatumwa kwa ahadi ndogondogo. Sema mirungi Bomang'ombe inauzwa sana na inabakia, then inasafirishwa kwa pikipiki mpaka Mererani.
 
Wa
Hall hii ikizidi ghasia zitaanza, haya mambo sio ya kufumbia macho.
Walipozomea bukoba mkasikia raha na mgombea wenu akasema lazima ukubali kuzomewa au kushangiliwa, sasa nini kina wauma?
Mliona raha kwa CCM lakini sio kwenu?
LAZIMA MKUBALI NA BADO MGOMBEA WENU AKIFIKA HAPO ATAONA JOTO,
nadhani ana kumbukumbu wakati wa wadhamini.
 
Wakubwa hivyo wanafanya ujinga huo? Kweli maisha magumu, wawaoteshe busha mpaka aliyewatuma aote busha.
 
Ebu pitia hiyo link uone kidogo
Hapa ni leo Hai ambapo inaonekana watu wale wa awali pamoja na wengine wameongezeka na kuharibu mkutano wa Mbowe huko Narum kabla hata haujaanza.

Nashangaa ni kwa nini Hai? Lazima hatua zichukuliwe la sivyo tutaanza kulaumiana!

Natabiri Leo. Yaliyomtokea Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr Kreluuu yatakuja kumtokea mkuu wa wilaya ya Hai.

Lini Mungu anajua
Kwanini yasikutokee wewe...acha kutabiri vifo kwa wenzio...au umepanga njama za kumuua?!
 
Back
Top Bottom