Video: Mchina apokea mkong'oto kutoka kwa waganda ndani ya Ethiopian Airlines ikiwa angani kwa kushukiwa kuwaibia pesa

Mafrika ni mwafrik tu! Kuna namna ya kudeal na hizi isues na siyo kupigna ndani ndege. Muhogo ni muhogo tu hata ukautia nazi! Kosa kubwa alilofanya Mungu ni kumuumba mwafrika
Na ndiyo binaadamu wa kwanza hapa duniani sema tu dini za michongo ndiyo zimemuharibu akili mwafrika. Kabla ya hizi dini tulikuwa wastaarab sana na tulikuwa hatutengani kwa kubaguana.
 
Ujawahi kuibiwa wewe.
 
Webare Abaganda bange...

Mbona hakujitetea kwa zile Kungfu au Karate zao, hata hivyo kuibiwa kwenye ndege ni uzwazwa, abiria linda mali yako.
Hivi hiyo ndege haikua na air marshal, maana kawaida kila ndege huwa na mmoja au wawili ambao husafiri kama abiria wa kawaida ila kimya kimya, husaidia kwenye matukio kama haya.
 
Upigwe ngumi ya mkenya, mganda, mtanzania mla dona, kwanza akikupata moja utahisi umepigwa na gogo hata kupanga ngumi unadhani utaweza?
 
Na ndiyo binaadamu wa kwanza hapa duniani sema tu dini za michongo ndiyo zimemuharibu akili mwafrika. Kabla ya hizi dini tulikuwa wastaarab sana na tulikuwa hatutengani kwa kubaguana.
Nani alikudanganya ?? Race nyeupe ndo ya Kwanza duniani huwa mnajifariji kijinga tuuu , aliyekutangulia kakutangulia tuu, huwez kuta ngozi nyeupe wanafanya ujinga wa namna hii tena kwenye ndege, Africa Sisi Akili tulinyimwa
 
Hakuna lolote nyie ngozi nyeupe mnajikuta, mnawakilishwa na wachache wavaojielewa nyiewengine koko tu.
 
Nani alikudanganya ?? Race nyeupe ndo ya Kwanza duniani huwa mnajifariji kijinga tuuu , aliyekutangulia kakutangulia tuu, huwez kuta ngozi nyeupe wanafanya ujinga wa namna hii tena kwenye ndege, Africa Sisi Akili tulinyimwa
Are you serious? Umeshawahi jiuliza mwanadamu wa kwanza aligundulika ama kupatikana wapi? Wacha ujinga, Waafrika ndiyo binadamu wa kwanza hapa duniani na Mungu aliwaumba kutokana na mfano wake, upende usipende.
 
Back
Top Bottom