Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha hizo wachina wangapi wamewapiga vibao watanzania kwenye ajira zao za uchwara na maisha yao yanaendelea!,mchina anaua tembo zaidi ya 500 eti jela miezi 5,mzawa kosa dogo 30yrs jail!,na kwao hawa jamaa ni washenzi tu, welldone wahabeshiTukio kama hilo likitokea kwa watu weupe. Rubani ata make emergency landing na mtuhumiwa kukamatwa na polisi. Halafu hao waliompiga huyo mshukiwa nao watakamatwa na kufunguliwa mashtaka kwa kuchukua sheria mkononi.
Unazani wote tunatoka familia za kishuaMtu smart apandi Ethiopian airlines kwa safari za Ulaya au Asia. Watu toka west africa ni very trouble angani
Kwa sababu kampiga Bwana ako wa kichinaMwafrika ni kiumbe ambacho hakikutakiwa kabisa kuwepo duniani
Kwa hiki ulichoandika hapa, ninakubali kuwa kuna waafrika wa aina yako mlinyimwa akili. Kwakua umejitambua, anza leo kutafuta uvumbuzi wa hilo tatizo.Nani alikudanganya ?? Race nyeupe ndo ya Kwanza duniani huwa mnajifariji kijinga tuuu , aliyekutangulia kakutangulia tuu, huwez kuta ngozi nyeupe wanafanya ujinga wa namna hii tena kwenye ndege, Africa Sisi Akili tulinyimwa
Kuna namna nyingi za kujitoa uhai kama unaamini haukutakiwa kuwepo hapa duniani, sio unandika hapa kufurahisha watu tu.Mwafrika ni kiumbe ambacho hakikutakiwa kabisa kuwepo duniani
Halafu wanaija watu wa makelele tu safari nzima.Kuna siku nimepanda hizo Fuso, wanaija ni wengi sana.
Airport chaaaaaafu
Hapa mchina anaibiwa na wanaijeria wakuuKuna huyo mwamba kampiga bonge la kofi aisee.😄😄😄