Unafaa we yfe kabla ya unaye taka afeYaani huyu ni kiongozi ambaye watu Mia moja wanamsikiliz
View attachment 1344676
Magufuli ndio anavyowafundisha aisee kupigana kumekaribia
Hiki kidagaa kinaongea hayo huwenda kikawa kimetumwa na kisangara au kinyangumiMarekani haihangaiki na vidagaa kama hivi
Hebu tuambie uhusiano uliopo baina ya mfano wake na mjadala ulokuwa mezani.Mimi siyo mshabiki,nimebase kwenye video kama evidence labda kama wewe una evidence ya ziada ilete,labda inaweza nishawishi.Kwanza kilichonishitua video clip ina sekunde 16,kufuatilia jamaa wamechuka tu hako ka kipande maana yake wamewanyima watu haki ya kujua kilichotokea.Wewe utakuwa ni mshabiki ila mimi hapana ndugu.
Huyu jamaa ni mwanamme,sijui kwa Nini alipewa ubunge wa kitu maalum?.Yeye na aliyekuwa anachangia,wote ni wa viti maalum.
Mungu hutenda kwa wakati. Wewe ni nani kushangilia Zitto Kabwe kuuliwa?Kwa kweli inabidi kama kuna wauaji wachangiwe tu pesa na hawa wabunge wa CCM maana kujenga hoja hawawezi tena. Zitto kaandika barua katoa hoja zimeeleweka na World Bank na nyie jibuni basi mpangue hoja zake, mnashindwa nini? Mnakimbilia kuua ua tu kama mlivyotaka kumfanya Lissu
So pathetic mnadhani ni Zitto peke yake, kulikuwa na pettition online ya hilo suala na World Bank walikuwa tagged. Ili kuwa na sigantures zaidi ya 10,000 mimi mwenyewe niliandika emails, World Bank ilikuwa flooded na emails zikilalamika udikteta wa awamu ya tano.
View attachment 1346062
Endeleeni kulala tu maana mmejaza vilaza kwenye hilo chama chakavu.
Mwisho HONGERA sana mama mchungaji nimeona unakenuaaaaa uliposikia WITO WA ZITTO KABWE KUUULIWA no wonder wanasemaga ulizika makondoo hai kwenye geti la St. Mary's School na kanisani kwako FULL MAKAFARA ya damu.
View attachment 1344066
The internet never forgets. Shukrani mkuu.Kwa hiyo story ndiyo imekuwaje?
Kwa kweli inabidi kama kuna wauaji wachangiwe tu pesa na hawa wabunge wa CCM maana kujenga hoja hawawezi tena. Zitto kaandika barua katoa hoja zimeeleweka na World Bank na nyie jibuni basi mpangue hoja zake, mnashindwa nini? Mnakimbilia kuua ua tu kama mlivyotaka kumfanya Lissu
So pathetic mnadhani ni Zitto peke yake, kulikuwa na pettition online ya hilo suala na World Bank walikuwa tagged. Ili kuwa na sigantures zaidi ya 10,000 mimi mwenyewe niliandika emails, World Bank ilikuwa flooded na emails zikilalamika udikteta wa awamu ya tano.
View attachment 1346062
Endeleeni kulala tu maana mmejaza vilaza kwenye hilo chama chakavu.
Mwisho HONGERA sana mama mchungaji nimeona unakenuaaaaa uliposikia WITO WA ZITTO KABWE KUUULIWA no wonder wanasemaga ulizika makondoo hai kwenye geti la St. Mary's School na kanisani kwako FULL MAKAFARA ya damu.
View attachment 1344066
Bro Return Of Undertaker, njoo huku uongeze sauti kwa hizo aya tatu ulizokemea pepo liitwalo Getrude Lwakatare!! Mungu amesikia sala zakoBunge linajadili kumuua Zitto Kabwe kwa sababu ameisema vibaya serikali nje ya nchi na wabunge wanashangilia. Yani kweli kama taifa tumefikia hatua hii? Kufikiria kumuua mtu, na kujadili hadharani bila woga? Na Spika wa bunge yupo, anasikia na hakemei? Mnajadili kuua kwani nyie mtaishi milele?
Nimesikitika kuona hata Mchungaji Lwakatare ambaye alipaswa kukemea UPUMBAVU huu nae anashangilia. Tena wanasema auawe hukohuko asirudi akiwa hai. Yani irudi maiti yake. Hili ndio bunge la Job Ndugai, linalojadili kuua watu, badala ya kujadili ustawi wa watu. Halafu likiitwa bunge dhaifu Ndugai anafura. Marekani wakisema tunakiuka haki za binadamu, tunajificha kwenye kivuli cha ushoga?
Hivi uliwahi kuona wapi duniani popote bunge likijadili kuua watu wake? Kama wanaweza kujadili hadharani kuua, wakiwa peke yao kwenye vikao wanafanyaje? Unajadili kumuua mbunge, ndani ya bunge na wabunge wanashangilia?? Aibu, aibu, aibu.!!
Bro Return Of Undertaker, njoo huku uongeze sauti kwa hizo aya tatu ulizokemea pepo liitwalo Getrude Lwakatare!! Mungu amesikia sala zako
Mkuu usituchekeshe basi na msib huuMilima ya moto imemlipukia huko Boko
Mkuu Pascal Mayalla , maandishi yako hayapotei bure. Njoo hapa tena utoe ufafanuzi kwa kuwa tayari ulichokisema kuhusu kauli ya kumdhuru ZZK imeshamgeukia huyu Mjasiriamali wa Injili Lwakatare.Nimeusikiliza huu mjadala, kiukweli baadhi ya wabunge wametoa kauli kali na hatarishi, ikiwemo kauli ya kifo kwa Mhe. Zitto Kabwe, ni ajabu kwa Mbunge Mlokole, Mchungaji Rwakatare, kushangilia mtu auawawe!.
Naendelea kusisitiza kuhusu kauli huumba, kauli kama hii ilitolewa kumhusu Lissu na mara ikatekelezwa, sasa ni kumhusu Zitto, bahati nzuri Zitto ni mtu wa Kigoma, mwisho wa reli, na kule kwao, kaaga!, likimtokea la kutokea, kwa mujibu wa Zitto mwenyewe, hawa waliochangia adhuriwe, kule majumbani kwao, hakuta salia hata panya alive!.
P