Aqua
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 1,657
- 1,231
wagotheleopardskiller,
Mimi siyo mshabiki,nimebase kwenye video kama evidence labda kama wewe una evidence ya ziada ilete, labda inaweza nishawishi.Kwanza kilichonishitua video clip ina sekunde 16, kufuatilia jamaa wamechuka tu hako ka kipande maana yake wamewanyima watu haki ya kujua kilichotokea. Wewe utakuwa ni mshabiki ila mimi hapana ndugu.