Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

wagotheleopardskiller,
Mimi siyo mshabiki,nimebase kwenye video kama evidence labda kama wewe una evidence ya ziada ilete, labda inaweza nishawishi.Kwanza kilichonishitua video clip ina sekunde 16, kufuatilia jamaa wamechuka tu hako ka kipande maana yake wamewanyima watu haki ya kujua kilichotokea. Wewe utakuwa ni mshabiki ila mimi hapana ndugu.
 
Mimi siyo mshabiki,nimebase kwenye video kama evidence labda kama wewe una evidence ya ziada ilete,labda inaweza nishawishi.Kwanza kilichonishitua video clip ina sekunde 16,kufuatilia jamaa wamechuka tu hako ka kipande maana yake wamewanyima watu haki ya kujua kilichotokea.Wewe utakuwa ni mshabiki ila mimi hapana ndugu.
Hebu tuambie uhusiano uliopo baina ya mfano wake na mjadala ulokuwa mezani.

Hebu tuite nyekundu, nyekundu na si nyeupe.

Mimi kama mwana CCM sikubaliani na kauli za namna hiyo hata kidogo, maneno huumba. Tukiambiwa Chama chetu ni cha mauaji tutakataa?

Mimi niseme tu kuwa HUO NI MSIMAMO NA MTAZAMO WAKE NA SIO MTAZAMO AU MSIMAMO WA CHAMA.

Naomba watu wasiihukumu CCM kwa makosa ya mtu mmoja mmoja maana na wao ni binadamu kama walivyo wengine, wanakosea na kupatia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli inabidi kama kuna wauaji wachangiwe tu pesa na hawa wabunge wa CCM maana kujenga hoja hawawezi tena. Zitto kaandika barua katoa hoja zimeeleweka na World Bank na nyie jibuni basi mpangue hoja zake, mnashindwa nini? Mnakimbilia kuua ua tu kama mlivyotaka kumfanya Lissu

So pathetic mnadhani ni Zitto peke yake, kulikuwa na pettition online ya hilo suala na World Bank walikuwa tagged. Ili kuwa na sigantures zaidi ya 10,000 mimi mwenyewe niliandika emails, World Bank ilikuwa flooded na emails zikilalamika udikteta wa awamu ya tano.

View attachment 1346062

Endeleeni kulala tu maana mmejaza vilaza kwenye hilo chama chakavu.

Mwisho HONGERA sana mama mchungaji nimeona unakenuaaaaa uliposikia WITO WA ZITTO KABWE KUUULIWA no wonder wanasemaga ulizika makondoo hai kwenye geti la St. Mary's School na kanisani kwako FULL MAKAFARA ya damu.

View attachment 1344066
Mungu hutenda kwa wakati. Wewe ni nani kushangilia Zitto Kabwe kuuliwa?
 
.

IMG-20200420-WA0069.jpeg

Jr[emoji769]
 
Bunge linajadili kumuua Zitto Kabwe kwa sababu ameisema vibaya serikali nje ya nchi na wabunge wanashangilia. Yani kweli kama taifa tumefikia hatua hii? Kufikiria kumuua mtu, na kujadili hadharani bila woga? Na Spika wa bunge yupo, anasikia na hakemei? Mnajadili kuua kwani nyie mtaishi milele?

Nimesikitika kuona hata Mchungaji Lwakatare ambaye alipaswa kukemea UPUMBAVU huu nae anashangilia. Tena wanasema auawe hukohuko asirudi akiwa hai. Yani irudi maiti yake. Hili ndio bunge la Job Ndugai, linalojadili kuua watu, badala ya kujadili ustawi wa watu. Halafu likiitwa bunge dhaifu Ndugai anafura. Marekani wakisema tunakiuka haki za binadamu, tunajificha kwenye kivuli cha ushoga?

Hivi uliwahi kuona wapi duniani popote bunge likijadili kuua watu wake? Kama wanaweza kujadili hadharani kuua, wakiwa peke yao kwenye vikao wanafanyaje? Unajadili kumuua mbunge, ndani ya bunge na wabunge wanashangilia?? Aibu, aibu, aibu.!!
Bro Return Of Undertaker, njoo huku uongeze sauti kwa hizo aya tatu ulizokemea pepo liitwalo Getrude Lwakatare!! Mungu amesikia sala zako
 
Nimeusikiliza huu mjadala, kiukweli baadhi ya wabunge wametoa kauli kali na hatarishi, ikiwemo kauli ya kifo kwa Mhe. Zitto Kabwe, ni ajabu kwa Mbunge Mlokole, Mchungaji Rwakatare, kushangilia mtu auawawe!.

Naendelea kusisitiza kuhusu kauli huumba, kauli kama hii ilitolewa kumhusu Lissu na mara ikatekelezwa, sasa ni kumhusu Zitto, bahati nzuri Zitto ni mtu wa Kigoma, mwisho wa reli, na kule kwao, kaaga!, likimtokea la kutokea, kwa mujibu wa Zitto mwenyewe, hawa waliochangia adhuriwe, kule majumbani kwao, hakuta salia hata panya alive!.

P
Mkuu Pascal Mayalla , maandishi yako hayapotei bure. Njoo hapa tena utoe ufafanuzi kwa kuwa tayari ulichokisema kuhusu kauli ya kumdhuru ZZK imeshamgeukia huyu Mjasiriamali wa Injili Lwakatare.

Hongera kwa vision uliyo nayo
 
Back
Top Bottom