Video: Mchungaji Mama Rwakatare akishangilia wito wa kuuawa “msaliti Zitto” uliotolewa na Bulembo

R.i.p Mama Mchungaji kanisa nashauti akabidhiwe bulembo.
 
Sasa amekufa yeye kama mwenzake aliyeshindwa hata kutoa pole ya kinafiki kwa lissu alipotandikwa mvua ya risasi. Karma always find its way back 😂
 
Zzk bana hoja ya buzwagi ilimletea shida bungeni matokeo yake yule pilato mpendekeza hoja ya adhabu akaishia kua mlemavu wa mkono mmoja,mpk leo bunge anaishia kuliona kwenye video tu likatumwa jini kumnyonya damu Zzk iringa,maskin jini likapotea njia likaondoka na Mama Salome Mbatia bila hatia....
 
Mungu hadhihakiwi, yupo wapi Mama Rwakatare hivi sasa?

Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
yaani mwendazake na group lake wamenipa funzo sana jinsi ya kuishi kwenye hii dunia. Nazidi kuamini Mungu yupo na hajali lolote lile kwa yeyote yule. Yaan hili group la akina mwendazake siamin kama limepukutika namna hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…